jeremiahafya

jeremiahafya

Share

20/02/2025

๐Ÿ‘‰ *MADHARA YA KUTOONDOA SUMU KATIKA MWILI (DETOXIFICATION PROGRAM)*

๐Ÿ‚ Asilimia kubwa ya maradhi yanayowasumbua watu hivi leo yanatokana na sumu zilizopo katika miili yao. Inawezekana umewahi kusikia mambo mengi kuhusu sumu kwenye mwili, lakini hufahamu chazo halisi cha sumu hizi/VYANZO VYA SUMU Miili yetu imekuwa ikipokea sumu na uchafu kila siku kutokana ;

1. Matumizi ya dawa mara kwa mara

2. Matumizi ya pombe (Alcohol) na sigara

3. Mazingira na athari kutokana na maendeleo ya sayansi na teknolojia

4. Ukosekanaji wa lishe sahihi na diet nzuri

5.Matumizi ya madawa makali

6.Uzito mkubwa

7.Mitindo ya maisha

8.Njia za uzazi wa mpango za kisasa

*DALILI ZA KUWA NA SUMU NYINGI MWILINI*

1.Matatizo ya ngozi kwa mfano chunusi,vipele

2.kuwa na uzito wa kupindukia

3.kutokupata choo au choo kigumu

4.kukosa usingizi Na kujihisi kuchokachoka

5.Kichwa kuuma

6.Kupata miwasho

7.Maumivu ya viungo K**a vile mgongo,goti....

8.kuwa na hasira mara kwa mara.

9.Tumbo kujaa gesi

*MADHARA YAKE*
1.kuondoa hamu ya tendo la ndoa
2.maambukizi ya figo
3.Maambukizi ya Ini
4.Hupelekea matatizo ya kutopata watoto (ugumba)
5.hupelekea uvimbe kwa ndani ya kizazi kwa mwanamke
6.Hupelekea matatizo ya pressure
7.Mvurugiko wa homoni
Jamani wengi tunaandaa detox zetu nyumbani ni kweli lakini si detox zote zinasafisha mifumo yote ya mwili kwa pamoja Huu ndio ukweli,jipatie detox๐Ÿ‘‰( *fatburner* ) ambayo inasaidia kusafisha mfumo wote wa mwili...karibu๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ

Want your practice to be the top-listed Clinic in Arusha?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Category

Website

Address


Arusha