Maintain YOUR Health
Tumedhamiria kuboresha Afya yako kwa kukupatia elimu sahihi tukiwa na lengo la ubunifu na ufanisi wa suluhisho kwa magonjwa sugu yanayojirudia ili kukusaidia kufikia Malengo na Ndoto zako.
08/06/2026
Je, Unahisi Maumivu ya Tumbo la Chini Yasiyoeleweka?
Unateseka na uchafu usio wa kawaida, harufu mbaya na maumivu wakati wa tendo la ndoa?
Wanawake wengi wanapitia hali hii kimya kimya... P. I. D (Pelvic Inflammatory Disease) imekuwa ikiathiri Afya, Mahusiano na hata ndoto ya kupata mtoto...
Inaumiza sio tu mwili wako, bali pia moyo wako — kuishi na hofu, aibu na kukosa majibu sahihi.Lakini kuna matumaini...
Programu yetu maalum ya kupona P.I.D imeundwa kukusaidia:
✓Kupunguza maumivu na dalili kwa njia salama.
✓Kurejesha Afya yako ya uzazi.
✓Kukupa mwongozo wa kitaalamu na msaada wa karibu.
✓Kukurudisha kwenye maisha ya furaha na kujiamini.
Hii siyo tu tiba— ni mwanzo mpya wa maisha yako bila maumivu.
Usiendelee kuteseka kimya kimya.Tupigie simu 0766 972 073 na chukua hatua sasa kabla hali haijawa mbaya zaidi.
17/05/2026
🩺
: Blood Pressure By Age :
🫀Control Your Pressure, Power Your Life
❤ Know Your Numbers. Protect Your Future.
Learn more +255 766972073
17/05/2026
:🫀Mei 17 | Siku ya Shinikizo la Damu Duniani — High Blood Pressure = Hypertension :
Shinikizo la Damu ni la kawaida na linaweza kuwa hatari ikiwa halitatibiwa mapema.Hivi ndivyo unavyoweza kupunguza hatari yako ;👇🏼
🏃🏾 Kuwa na mazoezi ya mwili.
🍓 Kula Matunda na Mboga zaidi.
🚭 Epuka Tumbaku na Sigara.
🍷 Epuka Pombe.
🧂 Chumvi - Ipunguze!
😴 Usingizi - Zingatia ubora na pata muda mwingi kupumzika.
😩 Mafadhaiko (Stress) - Tafuta njia za kupumzika na kuepuka Msongo wa Mawazo.
💊 Kunywa dawa k**a ulivyoelekezwa na mtaalam wa Afya.
🍵 Tumia Chai yenye Afya resheni 3/Siku — Chai hii utaipata katika Taasisi yetu.
: Tuna usimamizi mzuri kwa wagonjwa wa Shinikizo la Damu, Wasiliana nasi 0766 972 073
12/05/2026
: 👩🏼⚕️ Mei 12 | Siku ya Kimataifa ya Wauguzi :
Siku hii inatoa uchambuzi wa kina wa nguvu kazi ya uuguzi.
Hapa kuna baadhi ya vidokezo muhimu:
📈 Idadi ya wafanyakazi wa wauguzi duniani imeongezeka kutoka milioni 27.9 mwaka 2018 hadi milioni 29.8 mwaka 2023.
📍 Takriban 78% ya wauguzi duniani wamejikita katika nchi zinazowakilisha 49% tu ya idadi ya watu duniani.
🤵🏾♀️ Wanawake wanaendelea kutawala taaluma, wakifanya asilimia 85 ya wafanyakazi wote wa uuguzi duniani.
: Tujifunze pamoja : 0766 972 073
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Website
Address
Arusha
Opening Hours
| Monday | 08:00 - 23:30 |
| Tuesday | 08:00 - 23:30 |
| Wednesday | 08:00 - 23:30 |
| Thursday | 08:00 - 23:30 |
| Friday | 08:00 - 23:30 |
| Saturday | 08:00 - 23:30 |
| Sunday | 08:00 - 17:00 |