HADAR

HADAR

Share

04/05/2024

IF YOU DON’T FIND A WAY TO MAKE MONEY WHILE YOU SLEEP,
YOU WILL WORK TILL YOU DIE💯

04/05/2024

Mama: Mwanangu hebu chukua simu umpigie babako umuambie chakula kiko tayari (Mtoto kachukua simu kisha kampigia babake)
Mama : Mwanangu babako kasemaje?
Mtoto: Ahhh mama simu ya baba imepokelewa na mwanamke sio baba.
Mama: Subiri arudi,atanitambua leo( kidogo kidogo hivi baba akarudi nyumbani, alipoingia akakutana na sufuria ya kichwa,kabla aketi kwenye kiti akapewa kofi ya mwiko,kisha mama kamuuliza mtoto)
Mama : Mwanangu,ulivyo mpigia babako simu,huyo mwanamke aliyepokea alisema Nin?
Mtoto: Alisema Samahani mteja wa nambari uliyopiga hapatikani kwa sasa.

Want your public figure to be the top-listed Public Figure in Dammam?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Category

Telephone

Website

Address


Dammam