Nathanizer
17/04/2026
Shap bois wakishika simu yako namna hii kwa trafik jam wacha tu waende. Hapa kabla sauti itoke kwa osofagas ikuje kwa voice box jamaa atakua dagoreti kona.
Hizi mikora zinakuanga na mbio buana. Hawa tukipeleka olympics na tueke kitu inatrigger adrenaline tutakuja na gold mingi k**a kenyùnyù.
Alafu wote huwa warefu. Ile siku utapatana na mfupi huyo ako atachmend, toka kimbisa yeye atajitega mwenyewe.
They will nefa tich you this in politeknik
Elimon paraguiii😏🤣
Team Nizer
Nakununulia simu mpya alafu unauza yako ya zamani. Sasa utatumia nini tukiachana sweetie?😂😂😁
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Website
Address
Nakuru