NURU RADIO
JUMMA MUBARAK
Big shout out to my newest top fans! Hanboy KE
Bei ya mafuta ya Petroli kupungua kwa Ksh.1 kwa lita, Dizeli kwa Ksh.1.50 kwa lita, na Mafuta ya Taa kwa Ksh.1.30 kwa lita.
14/07/2024
Ndio!!! Chaguo la wengi 💪💪💪
NURU TEAM 💪💪💪💪
Baraza la mawaziri lavunjiliwa mbali huku waziri mwenye mamlaka makuu Musalia Mudavadi akiponea shoka hilo.
Thanks for being a top engager and making it on to my weekly engagement list! Hanboy KE, Martin KE, Zuma Bezuma
Katika kipindi cha tunauliza....
Je unakubaliana na hatua zinazochukuliwa na vuguvugu la gen z kutafuta haki na uwazi uongozini???
Sema nasi studioni...
*Assalaam Alaykum Warahmatullah Wabarakatuh*
Hadithi inatusisitiza kuisoma na kuifuata Quran ili tujinasibishe kuwa tu wa Allah.
Imepokelewa kutoka kwa Anas bin Maalik (رضي الله عنه) kwamba Rasuli wa Allaah (ﷺ) amesema:
*Allaah Anao watu wake kati ya wanaadam.* Wakamuuliza: Ee Rasuli wa Allaah ni nani hao? Akasema: *Hao ni watu wa Qur-aan na ni watu wa Allaah na wateule Wake* [Ahmad, Ibn Maajah]
Allah kwa rehma zake atuwezeshe kujifunza,kuisoma (kuisoma quran ni kujua ujumbe uliopo, tuisome tafsiri yake) na kutekeleza maamrisho yake
*Aamyn*
Awamu ya tano ya upasuaji wa miili iliyofukuliwa eneo la Shakahola imeanza rasmi hii leo katika makafani ya hospitali kuu ya mji wa Malindi huku jumla ya miili 6 ikifanyiwa upasuaji.
Kulingana na mwanapatholojia mkuu wa serikali Johansen Oduor, miili hiyo ni kati ya 24 iliyofukuliwa katika awamu ya tano ya ufukuzi wa miili katika msitu wa Shakahola.
Shout out to my newest followers! Excited to have you onboard! Kevin Leshan, Mercy Cheptoo, Kenix Quizo, P Mixon Tyler
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Website
Address
Old Town
Mombasa