Amos king
Nower daiz life .....try today and see the results
Nakubuka io cku ...fulaha inanijaa miyoni ...hii ni baada ya aeroplani kupita kwa Kasi
Nyanya : mpenzi ebu Joo kwa haraka
Babu: ebu ninje mpenzi Kuna Nini
Nyanya :we Joo mpenzi hakuna mabaya
Babu : ni hapa mpenzi niambie
Nyanya : nimeona kiube kimepita kwa Kasi
Babu : wapi tena mpenzi na ckuona
Babu : kimeelekea wapi mpenzi
Nyanya:kimeelekea kusini mpenzi
Babu:kwani kina nini?
Nyanya: unakubuka enzi za zamani uliponitongiza
Babu: nakubuka mpenzi ,kwani Kuna shinda
Nyanya : uliniahindi ya kwamba sitaaga ka hujaninunulia kiumbe ka like
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Culinary Team
Attire
Website
Address
Mombasa