CCF RADIO

CCF RADIO

Share

13/05/2026

UNAKARIBISHA NANI KWENYE KIPINDI CHA BURUDANI KAZINI?
SEMA NAMI AUGUSTINE NYONGESA KUPITIA 0784053585 AU 0740497738.
10AM-2PM.

13/05/2026

HUJAMBO MSIKILIZAJI? NATUMAI MZIMA ASUBUHI HII, BASI NIKUKARIBISHE NDANI YA KIPINDI CHA RAUKA UKIWA NAMI PAPA ISSAH SIKU NJEMA.

12/05/2026

Bila shaka siku haishi vizuri bila mikiki ya BUSTANI LA BARAKA.basi jiunge nasi Eversmall Masika na Kasisi Wa Michezo tumalize siku kwa tabasamu.

12/05/2026

HELLOW MY GOOD PEOPLE.......
HEWANI NI BURUDANI KAZINI NAMI AUGUSTINE NYONGESA.
UNATEGEA UKIWA WAPI? TUESDAY.

12/05/2026

Baada ya utulivu usiku kucha, ni wasaa wa kurauka ndani ya rauka na CCF radio ukiwa nami nahodha Issah tuanze siku kwa kumtanguliza Mola siku njema nakutakia ewe bingwa

11/05/2026

JE, WIKENDI YAKO IMEKUAJE?
JIUNGE NAMI TUKIZIDI KUJITUMA. KWENYE AWAMU YA BABA KIOO KATIKA JAMII TUTAKUA NA MTUMISHI WA MUNGU Collins Simiyu. KARIBU TUBARIIWE.
fans

11/05/2026

Baada ya wikendi iliyo m***i basi karibia tuanze wiki tena kwa baraka tele maanake rauka imeteka angaa nami papa Issah siku angavu na wiki lenye baraka

10/05/2026

TUMSIFU KWA KILA HALI.. ndicho kipindi hewani.
CALL/SMS 0740497738..0784053585

cheers๐Ÿ’œ๐Ÿฅ‚๐Ÿ’œ

09/05/2026

MAMBO VIPI GWIJI ? MZIMA ? KARIBU TUPATE BARAKA YA JUMAMOSI # SUPAA WIKENDI NAMI PAPA ISSAH.

09/05/2026

Beauriful sato with Eversmall Masika
CALL/SMS 0740497738..0784053585

08/05/2026

Hujambo msikilizaji wangu popote ulipo na karibu kwenye kipindi cha Burudani Kazini nami Augustine nyongesa.
Wiki lako limekuaje?
Ikiwa ni Ijuma ya shukrani, una lipi la kumshukuru Mungu?
sema nami kupitia 0740497738 au 0784053585.
fans

Want your business to be the top-listed Media Company in Eldoret?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Category

Address


Eldoret