Muhati
02/11/2025
Nilitoka kuwatch bol nikiwa na hasira sana Jana juu team yangu iliDraw na Nottinghamπ π ...kufika Kwa mlango napata wife amejifungia Kwa nyumba then amezima light which means analalaπππ€..Nikabisha mlango na kumuita anifungulie but akaniambia eti ye amelala Mimi nirudi tu penye nimetokaπ₯²...nikamwambia afungue ama nijitupe Kwa kisima juu hata Niko na hasira Sana team yangu haijapata winβΉοΈπbut akaniambia eti"we jiue ukitaka"".....so nikatafuta kijiwe kikubwa pale inje then nikatupa Kwa kisima *Chubwi* kisha nikajificha pale nyuma ya nyumbaπ€£π..wife kuskia hiyo sauti akashtuka akadhani nimejitupa Kwa kisima..akaniita Mike ππ₯Ί... sikuitikaπ€£π..so akafikiri nikweli nimejitupa Kwa kisima akaamka haraka akafungua mlango then akakimbia pale Kwa kisima akiwa amevalia Tu p*nty na braπ€£π€£π...me nae nikaingia Kwa nyumba haraka then nikafunga mlango na ndaniππ....Mercy akakuja Kwa mlango akaniambia nifungue ama apige nduruπ..me nikamsho apige nduru watu wakuje awaambie ametoka wapi sahio na p*nty na brah Tuππ.....so bado Kako hapo Kwa mlango kanalia polepole na baridi nataka niamke nikafungulie sasaπ€£πͺπ.....na niliwaambia Tu mnipee advice before nioe wakuu,πππ
Anyways good morning π.. Follow π Ayeebaba LIVE TALK SHOW TV
01/11/2025
Nimekunywa kauji hii jioniπ΅ ,hubby akaanza kuomba msamaha akanisho he is blocking Lucy na tutaishi kwa amani tena hatarudia makosa ka ileπ₯° .Akashika simu yake and I believed amemblock.π Akani join tukunywe uji ya mtama pamojahuku udaku imeshikaπ¨ββ€οΈβπβπ¨ .After few hours tukaenda kwa nyumba ....kufika huko nikajifanya naumwa saana na mapua yenye Lucy alinipiga asubuhi ππ€ sitaweza kupanguza nyumba πππ€My man akapanguza,he prepared sapa and now on bed k*ssing πand cuddling ππ
Nikaona simu yake inaita kuangalia ni Lucy anapigaπ€³π nikashindwa ni aje huyu Mike alinisho alimblock nzegere ya mundu π§... FEAR MEN......Sikuwa nataka mambo so what I did nilichukua hiyo namba ya Lucy nika save kwa simu yangu π€ na tukalala (simu haikushikwa).
Nashangaa tu vee hubby ana manage kuchat na Lucy via whatsup and yet ameniweka profile yake ya what's up kwani what's going on π
I'm coming up with an idea ππ Asubui nitamka nipike breakfast akule juu ameniambia atarudi kitu saa saba ako na shughuli zake hataenda church π© Akishaenda nitapigia Lucy nimwambie mimi ni dadake Mike. I want to know how long they've been dating, yu anaishi wapi na pia nataka tukutane hio kesho kwake ππ§π§
Lazima nimlipize kichapooo βΉοΈπ€π...
Part 3 itakuja kesho na evidence π§Ύ
Follow π Ayeebaba LIVE TALK SHOW TV
01/11/2025
Mnakumbuka Lucy my husband's sidechick? Can you imagine she texted my husband on Monday on WhatsApp ati she is pregnant for him.ππ My husband didn't respond to her nikajijazia my Mike ameacha usherati and I was very happyπ
Kashetani kengine kakaniuliza ndani yangu,"Mercy uko sure Mike ameacha usherati?" π Then I was like, "...no not sure."Acha nimuweke kwa mtego.ππ Thursday nikaambia Mike naenda kwetu nitarudi next week Wednesday...my Mike akaniwishia safe journey hadi akanipeleka Bus station π§βπ€βπ§π¨ββ€οΈβπβπ¨, find love guys ππ₯°π©... Sasa badala ya kurudi Wednesday nimerudi Leo hii morning nikafungua mlango pole pole coz sikuwa nimeambia my man ati narudi leo nimSurprise. Kufungua nimempata hubby akipika breakfast alishtuka but akanikaribisha vizuri na ka forehead kiss ππ. Nikaenda straight kwa bedroom yetu.
On my surprise napata kumbe Mike aliita Lucy to my house...πππ Mara io nikarudi kitchen niulize babe what's up ghaii βΉοΈπ₯Ίπ,my man vanished immediately I got inπππ’
Mimi huyo na mwiko nikajiambia "leo ni Leo Lucy atanitambua" π mmmmh,kufika huko kwa room nikauliza Lucy,"what are you doing in my matrimonio bed?" ππ π‘ nipeeni handkerchief π€ Wacha Lucy anirukie , aliniwekelea slap nikaanguka chini,akanikalia kwa shingo,difff, akaniwekelea ngumi ya mapua nikaskia wiiiiiiii π€π©π ikabidi niwekelee nduruπ’ kumbe my hubby alikuwa kwa mlango akakuja kuniokoa woi woi πππ na ivo ndo Lucy akatoroka.Beb amenifanyia fast aid na alikuwa anachekaπππ akanifunga lastopasss π€π€ saa hio mapua imefuraa.Lucy popote ulipo, shetani akulambe matterco, how do you get into my bΓ©atiful marriage ππ§π§
Follow π Ayeebaba LIVE TALK SHOW TV for more π
31/10/2025
Aki ndoa π Mike my hubby alitoka kwa hii nyumba last month .. Akasema anaenda Tanzania so nisimpigie coz network huko ni mbaya mimi k**a good wife nilielewa,akasema kazi ni ya 2months so nivumilie atarudi πMimi k**a Mercy nikaona now that hubby hayuko heri nitafute kitu ya kufanya atleast to keep me busy π
Nimetafuta job nikaangukia moja kwa reception fulani ...huku ni hoteli kuna rooms na pia ka bar ...mimi mostly niko reception ku receive wageni si mnaelewa π So Leo House keeper hakukam alipiga simu ni mgonjwa.....manager akaniomba nisaidie pia kwa house keeping juu mwenye ako incharge ni mgonjwa ...Akaniambia kazi si mob coz kuna room moja tu ndio imekuwa na watu since last month π So ati hao uwa hawatoki watapiga simu wakitaka breakfast ama lunch then niwapelekeeππ
Nimefika job leo mapema,9 Am nikapigiwa simu, sauti ya dem aka make order ya breakfast for 2 nikamsho anipee 30 minutes ikiwa ready nitapeleka......but hii voice ya huyu dem ilikuwa inanikalia familiar anyway maybe na overthink......π₯Ίπ©
Breakfast ikawa ready nikaenda nikabisha ....dem akauliza ni nani nikasema room service π akaniambia niingie, kuingia napata my husband na my best friend Lucy ππ surely, kwani wanaume hutaka nini aki π§π§ amenidanganya yuko Tanzania kumbe ako na my bestie π... bestie naye alinidanganya ameenda kwao kumbe ako na my hubby,niliangusha breakfast ππ’π©
Nika.imagine vile Lucy huniambia vile niko na hubby mzuri kumbe alikuwa anamumezea π I'm hurt π€π.....
Hubby anaanza kunigombanisha ati nafanya nini hapo πͺ hata haoni nimemkuta .....Lucy naye amenyamaza hasemi kitu aki ndoa ni udevo worshipping π§π§ Nifanye nini mimi πNaomba mniombee π akii Lucy ni betrayerπ§π
Kumbe mnapenda STORIES ππ
Ukiona hii post nisalimie πβ₯οΈπ
30/10/2025
πππππππππππππππ πππ ππππππππ πππππ ππππππππ πππ ππππππππ₯Ίπ₯Ί
Nilienda harusiπ° na kulikuwa na watu ka 50 hiviπ, nikakaa front seat then wakaanza kuserve foodπ. Kuna mwanamke akaanza kuserve food kutoka nyumaπ, unfortunately food ikaisha kabla haijatufikia huku mbeleπ.
Mwanamke mwingine akaanza pia kupeana sodaπΎ, akaanzia huko mbele na already nilikua nmeenda kiti ya nyumaπ₯΄ zikaishia huko katikati, tena nikakosa sodaππ§. Nikakasirika nikaamua niendeπ......but before niishie nikaona wanawake watatu wanakam wakiwa na mabakuliπππ, this time I tried to be wise by sitting at the middleπ.
Mmoja akaanza kuserve kutoka nyuma na mwingine kutoka mbele, this time walikua wanaserve kuku fryπππ, wakati walfika penye nmekaa tena kuku ikaishaπ₯π«π.
Nliboeka nikainamisha kichwa nikaeka mikono kwa uso......but kuna huyu mwanamke wa tatu alikuja akanigusa, akaleta bakuli karibu ndo nipick...nikaingisha mkono kwa bakuliπ, wah Jehovah Wanyonyi, ilkuw TOOTHPICKS!!! ya wenye wamemaliza kukulaπ₯πππππ. Nilifaint na nikatambua kupapatika hakuna maana ghaii πππ
30/10/2025
πUnasema mapenzi ya kule shuleni wakati mvua inaendelea kunyesha unakoseaπ€
Nakumbuka kule high skul siku ilikuwa Thursday k**a ya leo 2017 nilikuwa tu backbencher kwa kona darasani nimetulia mvua ikaanza kunyesha nikaona nijiwekelee kidogo juu ya desk nikingoja mvua iishe ndio tuone k**a mwalimu ataingia darasani kwa somo la hesabuπ€.
Nikiwa tu nimetulia kuna crush wangu ambaye alikuwa kiranja wetu akaja kwangu akaketi kando yangu.
Kighafla stima ikapoteaπ₯°kagiza kakaingia class π
Nikaona nipigepige huyo dem mdaro juu ni k**a hiyo siku alikuwa amejitolea kwanguπ.
Dem akaamua kunipa kissππ
Kwenda kuipokea stima zilirudi kighafla kuangalia kwa mlango nilipata mwalimu wa hisabati ametupiga jichoπ€kisha akasema,'Mike and Ruth follow me to the staffroom'π
Yalofuata kutoka hapo is a story for another dayπ©π
Follow JOURNALIST AYEEBABA
30/10/2025
My friend was cheating on her husband .Alikuwa ananiambia vile hapendi huyo hubby vile ako na mubaba mahali anamtreat poa π me I was just listening to her nikimpea advice k**a hapendi her husband si heri waachane than her living with someone mwenye hapendi.π
Akasema hawezi wacha the hubby juu ya watoi so ana prefer akae na huyo hubby na huku still aendelee kudate the so called mubaba wake.πΏ
Mimi naye kuna siku nilikuwa naendea maziwa Baba Tasha(my friend's hubby ) akaniita akaniambia if kuna kitu my bestie ameniambia nimuambie tu coz kuna vile ame change,mimi k**a good fwend nikaambia baba Tasha asijali anytime he wants a shoulder to lean on I'm here ama akitaka massage juu ya stress ya bibi I'm here..π€π
Baba Tasha akanisho he didn't mean that way yeye alitaka tu kujua if kuna kitu najua about the wife,nikamwambia mambo ni mengi asijali .....
Masiku zilisonga my friend alizidi kunipea stori vile ako anatesa bwanake mimi nilikuwa nasikiliza tu niki imagine vile Baba tasha ni mcute na anateswa na bibi anyway haidhuru .
Siku moja Baba Tasha akanikujia akaniambia anaona ni k**a bibi anamuacha pole pole juu hata wiki inaeza isha k**a hajarudi .I told him asijali if bibi anamuacha I'll be there for him, I'm single π π
Baba Tasha akaingia box and we started dating.Akaanza kuja kwangu we spend some time coz bibi ni k**a haeleweki .Mimi nampenda adi dielewimbona watu wakiwa na wapoa wazuri hawaoni π
Sasa Leo my friend alirudi nikaskia akiita jina yangu from outside si nikaficha baba Tasha kwa chooπMy friend akaingia akanipea story vile amekuwa Busia na mbaba π₯Ίmi naye ni sikio tu π€,kidogo akadai kuenda washroom ππ kuingia hukoπ³ ...wamepatana na beb wangu huko washroom π³ imagine sahi ananishautia vee mi ni husband snatcher π
Mimi nakuwaje husband snatcher ππ l'm hurt π€π
Naomba ushauri wenyu ... Also ka mume wako anakusumbua namba yangu iko comment section mpe tu π
Follow KΓ΅ RΓ―r π
29/10/2025
Nani anataka ROHOβ₯οΈ nimpeπ€
Names Of Boys Who cannot Give Girls Money!
Mtu ukitajwa usilalamikeππ
29/10/2025
Wenye wameolewa na mtoto si wa huyo hubby mkoje,niliolewa na boychild Ako 2yrs sai,Niko na boll ya current hubby Sasa,so siku izi Ako na madharau ingine aki but huwa simuulizi,amekuwa tu na tabia ya kurudi saa nne saa tatu,so Leo nikamkol nikamsho ajaribu kurudi mapema mtoi anadoz mapema ka bado hajakula,ameingia sai ananiambia ye anajua mtoto Ako kwa tumbo ndo anaeza mpea wasiwasi akidoz njaa,ye bado Hana mtoi mwenye nashinda nikimkol ,weuh nimeshindwa Cha kujibu but ameniambia ukweli yenye siezi pinga but waaa, sijui nitoe tu hii bol Iko 3 months na nijipende na mtoto wangu nimuondokeee ama nifanye aje?
She's following comment section π―
28/10/2025
mvua kidogo hivi mshatoka online...kwani mnado?π₯Ήπ₯Ίπ€
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Contact the public figure
Telephone
Website
Address
Eldoret