Bro. Webani.

Bro. Webani.

Share

19/10/2023

Mtukufu Rais, wanaopita mbele yako Sasa ivi ni wanajeshi wa free mode, πŸ™„ hawaoni chochote.wakiongozwa na kikundi Cha wanahewa wa fuliza.πŸ₯±
Wanaofuata ni Wana maji wa "uko na Airtel nikukol tubonge.πŸ˜†
Kisha wanaotamatisha gwaride hii mtukufu Rais ni wanajeshi wa nchi kavu yaani reverse call 🀣🀣🀣

Laleni tamu,kesho majaliwa πŸ€²πŸ™πŸΌ.
Karambu

Kesho ndo ile siku kinda wa mama nilikuwa nanyamazisha senior officer commentators.

Anyway tukutane Jericho SAA 6:00am to 8:00am entertainment segment.

14/10/2023

One way of beating ever changing economy is just to invest in Agriculture.

Are you asking how?
Contact Bro Webani @ [email protected] for more extension services information and farm planing and design.

12/10/2023

Giza hata liwe nene kiasi gani haliwezi kuzima mshumaa
UJUMBE . Umaskini hauondoki kwa kumchukia tajiri.
Sukari ni tamu lakini siyo kwenye supu; chumvi ni tamu lakini siyo kwenye chai. UJUMBE : Thamani ya mtu inategemeana na mahali alipo. Unaonekana wa kawaida sana kwa sababu hauko sehemu sahihi. Tafuta sehemu sahihi. Jirutubishe ila kumbuka Kuna wema na wabaya na je ni vyema kulipa BAYA kwa BAYA ama BAYA kwa Wema
Hata kumshauri mjinga ni hatari. Mjinga hakosei. Anajua kila kitu. Ni hatari kumshauri mjuaji. Kuna watu kibao wamepoteza kazi kwa kujaribu kuwashauri mabosi wao wajuaji.Mjinga siku zote mpe cheo.
Usimbishie mjinga maana wenye akili wakikukuta watashindwa kujua nani ni mjinga kati yenu. Ukigombana na nguruwe, nyote wawili mtachafuka. Ila nguruwe atafurahi kwa sababu ya uzoefu alionao katika uchafu.
Fikra tunduiziπŸ“šπŸ–ŠοΈπŸ–ŠοΈ

Want your business to be the top-listed Gym/sports Facility in Busia?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Website

Address


52-50423 Mubwayo
Busia