marson_hd
04/07/2021
Nyie huyu si Nassib mtoto wa Bi. Sandra? Yupo na 🥺
04/07/2021
Sunday Best🌻
Next season when Sancho See Cavani upfront in the opposition box😆
Takwimu za Sancho akiwa Borussia Dortmund.
∆ 2017- 18- 5 goals, 7 assists
∆ 2018- 19- 13 goals, 20 assists
∆ 2019-20- 20 goal, 20 assists
∆ 2020-21- 16 goals, 20 assists
Kwani Next season ya EPL inaanza lini hoa Asino ya , Livakuku ya na hao wa daraja la matope ya na hao wasioheshimu MaLegend wa timu na jezi zao za Samawati ya maji Waite mma?😁
Video credit: .amani
Statistics Credit:
29/06/2021
Mimi ni Mdogo wake Bieber 💎
nasikia kaka yupo Zanzibar 😔
anatokea mtu anasema ati Mimi sikoROMANTIKI😔
Mimi na Mdogo wake Rj (Mtoto wa Bi. Sandra) eti ndo MaSingleBoy wa Taifa🇹🇿😔
Ongeza nyingine unayoijua....
namimi niache uzembe, nimtafute Bwana Mhariri mwandandamizi wa Baraza la Kiswahili Tanzania (BAKITA) alafu aniambie Nini maana ya neno alafu na matumizi yake
tutakuwa tumeelewana.
...
28/06/2021
I won't disappoint you 🧡
Klicken Sie hier, um Ihren Gesponserten Eintrag zu erhalten.
Kategorie
Webseite
Adresse
Berlin