Vainlessa.store.com
02/09/2025
Unaambiwa uvira njo kwanza mambo yana waka moto 🔥 kila sehemu
Mwana muziki@mamy_lopez atangaza rasmi ujio wa kazi mupya kabisa ambiyo ameipa jina la tariki kumi september 10/09/2025
Kwa iyo ni muda wa kuingiya mujini youtube tafuta jina mamy lopez alafu follow, share lakini piya like
Shahidi Télévision
Achillian
Fabrice Nicklass K**anda
25/07/2025
🛑🛑UVIRA mambo yame waka moto 🔥🔥
Vijana wa groupe la
Watamuka ya kwamba kazi kutoka kwa msani nguli wa Hip hop haifikiyi kazi kutoka kwa vijana wao
Je vijana awa wako sahii ?
na yipi kazi kubwa ? Kwenye commenty
.store.com
25/06/2025
🛑🛑🚨🔥🔥🔥🔥 UVIRA UVIRA UVIRA
Njo kume kucha ss msanii nguli mjini uvira
Ka zarau album ya msanii belami
# kaeni mkao wakula sio izo album zenu matope k**a Nini!
unazani uyu jama anajikubali kwa kipi ?
Na ita fanya poa kuliko ?
.store.com
19/06/2025
🛑🛑🔥🔥🔥🔥 k**a_ilivyo_jina_langu
Ni katika maandalizi ya concert kubwa mjini uvira
Inayo tujiya kwa jina la
Toka kwa msanii nguli uvira
Utakosaje mimi ni takuwepo
Ukikosa utajikoseya
.store.com
18/06/2025
K**a ilivyo ndoto Ya ma stars wengi kwamba ifike mdaa awe anatembeleya Ndege binafsi (Jet privé) Pia na gari , ikiwa unashuka tu Airport n'a hapo hapo kuna gari inakusubiri hii ni maisha ma star wengi huwaga wanatamani sana !
Kwenye picha ni msanii wa Goma 🇨🇩 Joelike ambaye ameonyesha kidogo kwa maigizo ndoto yake anayo iyota kila wakati , sapoti yenu ndo itamufanya afikie ndoto hii
La source dé puis
.store.com
13/06/2025
Ni ya kikubwa k**a ilivyo jina langu
Ss uvira mambo ya na pamba moto🔥🔥 ma fanikiyo ya nazidi kuonekana msanii
Anaenda nunua gari jambo ambalo linazua balaa kichwani mwa watu mpaka ku pelekeya ku gusiya habari ya msani Mr gave
Eti gave naye alikuja ivo habari za gari zilipo ishiya hatujuwi
Approché mon fils
.store.com
Cliquez ici pour réclamer votre Listage Commercial.
Type
Site Web
Adresse
Uvira