Manager JONAS
06/05/2026
katibuni
05/05/2026
katika maisha siyo kila mtu anaye kusifiya na kukuambia pambana kuwa anapenda maendeleo yako hapana, wengine wanakusifia Ila ukionesha matunda kidogo tu Wale Wale wanaanza Ku chukiya, je ulisha wahi kujiuliza ni kwanini???? ndo maisha yalivo Ayo.
-ZENU video coming soon.......
video direct
production -Logistique
management -Jonas
audio prod by
04/05/2026
fin tournage -ZENU loanding video.........
-logistique
02/05/2026
La fierté de la musique congolaise le Tanganyika te soutient avec succès pour ce concert historique au STADE DE FRANCE 🇫🇷 🇨🇩 L'union fait la force merci pour tout Mukubwa ✊🏾✊🏾✊🏾✊🏾✊🏾 🇨🇩 Que Dieu t guide 🔥 JoybCraq
01/05/2026
artiste naona watu wanaanza kuandika all star ya T 3, juu unatowa challenge leo, ni shida kweli twende kazi FIKIRA ZENU ipo Tik tok tayari wende Fanya challenge 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
01/05/2026
BONJOUR j'espère vous allez bien 👍
🔥 FIKIRA ZENU 😴 🔥 challenge disponible
Je veux voir votre créativité, votre vibe, votre énergie 🔥
🎥 Clique ici et participe :👇👇👇👇
https://vt.tiktok.com/ZS95otrFx/
Montrez-moi votre force
UTILISER C SON 👇👇👇👇
https://vt.tiktok.com/ZS95otrFx/
TikTok · Joyb Craq 🎙️ 31 j'aime, 15 commentaires. « en disponible utiliser le son 😴 FIKIRA ZENU 😴 🇨🇩 😘🌺congolaise🌺😍 🇹🇿 🇨🇩 ni Samoyevi ✪ Buzz ✪ ...
01/05/2026
ishi sana muloko yangu, Mungu aendelee kutimiza maitaji ya moyo wako, injoy your day Rina de Rina 🎂🎂🎂🎂🎂🎂🎂🎂🎂
30/04/2026
MUNGU aksante kesho ndo challenge tuna achiya video nayo tayari mambo mazuri aya itaji haraka,
kalemie hii kazi mutaona kila kitu nimekifanya mimi kwa pesa zangu akuna mtu ambaye aliwekeza pesa Ili JOYB CRAQ aje dar mwanzo mwisho amekuja kwa garama zangu kila kitu mumeona uku kwa JOYB ni MJ LOGISTIQUE ndo imefanya hii kazi, hii siyo kazi ya Dach hapana japo msani JOYB niwa Dach......
nimesema ivi kwasababu kuna watu Wana ongeya maneno ya uongo uko Ili kuchafua jina langu mimi uwa sitengemei pesa za mtu hapana Ila nafanya kazi yangu kwa sababu ni don Niki paji, na sijawai kula senti ya mtu...... tusapoti kazi hii maana tunamefanya kazi nyingi uku ambazo mutazipata zote. manager CK merci beaucoup ....
28/04/2026
Mungu ni mwema 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🔥🔥🔥🔥
Cliquez ici pour réclamer votre Listage Commercial.
Type
Site Web
Adresse
Rdc/Tanganyika
Kalemie