Zanzibari Yetu

Zanzibari Yetu

Share

Jaji Mutungi:Ruzuku ni changamoto kwa Ukawa 30/10/2014

Jaji Mutungi:Ruzuku ni changamoto kwa Ukawa http://wp.me/p2Hr2P-4Gz

Jaji Mutungi:Ruzuku ni changamoto kwa Ukawa Dar es Salaam. Msajili wa Vyama vya Siasa, Jaji Francis Mutungi amesema Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) unakabiliwa na changamoto kubwa suala la ruzuku. Ingawa hakutaka kuingia kwa undani kuelezea changamoto hiyo, Jaji Mutungi alisema anaona ugumu wa Ukawa katika kushughulikia tatizo hilo, lakini akaongeza kuwa wakati ukifika ofisi yake italizungumza. [ 287 more words. ]

Want your business to be the top-listed Media Company in Stone Town?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Telephone

Address

Stone Town
255