Nad Insurance Agency
Retail Shops: VODACOM TANZANIA PLC.
📍Mwanza | Simiyu | Kagera | Mara | Kagera
09/01/2025
Baadhi ya mbinu zisizozingatiwa WhatsApp
Kadri siku zinavyozidi kwenda basi WhatsApp inazidi kuwa na kijiji chake katika suala la mawasiliano, mpaka sasa WhatsApp inashikilia watumiaji zaidi ya bilioni 1, cha kwanza kutokana na kuwa ni platform ya bure na pili ni rahisi kuitumia na jambo la mwisho kabisa ni ulinzi wa mawasiliano.
Baadhi ya features ambazo wengi hawazizingatii lakini zina msaada sana:-
1. Pinning Chats:
Hii ni sehemu ya kuzipa kipaumbele chats zako kutoka kwa watu muhimu au chats zako muhimj wewe mwenyewe, jinsi ya kufanya
(Nenda kwenye chat, press kwa muda kiasi kwenye hiyo chat, kisha bonyeza icon ya ki-pin.)
2. Starred Messages:
Hii ipo sawa na Pin Chat lakini utofauti wake yenyewe una BookMark kwa kuhitaji kusoma baadae hizo chats, namna ya kufanya👇
(Long-press a message and tap the star icon.)
3. Custom Notifications for Specific Contacts:
Unaweza ukaset notification tone kwa mtu maalum na ringtone maalum kwa ajili yake ikawa tofauti na mtu yeyote mwingine, cha kufanya👇
(Open the chat > Contact Info > Custom Notifications.)
Hizi ni baadhi ya vitu nilivyokutana navyo kupitia WhatsApp, kwa maoni, ushauri
https://wa.me/255688669384
04/01/2025
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Contact the business
Telephone
Website
Address
Njombe
59119