Alfred Mbonye

Alfred Mbonye

Share

09/02/2025

Namshukuru Mungu kwa zawadi ya Maisha 🙏🏽 Nawashukuru wazazi wangu, ndugu zangu, Marafiki na wote mnaokuwa sehemu yangu niwapo na uhai huu hapa Duniani, Mzidi kuniombea nidumu katika njia njema. HAPPY BIRTHDAY TO ME !

30/10/2024

*Tazama, roho yake hujivuna, haina unyofu ndani yake; lakini mwenye haki ataishi kwa imani yake*

27/09/2023

Kuelimika ni kujua kwamba "BADO HUJUI" na unahitaji kujifunza zaidi. Kuto elimika ni kudhani kwamba "UNAJUA SANA" na huhitaji kujifunza tena.

Want your public figure to be the top-listed Public Figure in Mwanza?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Category

Telephone

Website

Address

Nyegezi
Mwanza