iRARA Hardware
08/07/2022
Wakikuomba Pesa Ili Wakupime Upendo Wako Kwao Na Wewe Wanyime Ili Upime Uvumilivu Wao Kwako.😶
08/10/2021
Mwanaume Hujaribiwa zaidi na Shetani Akiwa na Hela na Mwanamke Hujaribiwa Akiwa Hana Hela.
Mwanaume hujaribiwa na Shetani akiwa na hela. Lakini shetani humkimbia akiishiwa. Angalia wanaume wengi wakiwa na hela wanavyo behave. Hawajali familia zao, attention yao kubwa ni kwenye ulevi, vimada, disco, kamari, makasino etc. Lakini wakiishiwa wanashinda nyumbani, wanajali familia, wanapanga mipango ya maendeleo (ambayo mingi haitekelezeki akishapata hela).
Na Mwanamke hujaribiwa na Shetani akiwa ameishiwa, na shetani humkimbia akipata hela. Angalia wanawake wengi wakiwa na hela wanavyojiamini, hawajirahisi hovyo kwa wanaume, wanapanga maendeleo ya familia zao. Lakini mwanamke akiishiwa anakuwa hopeless. Anapoteza matumaini, ni rahisi kuanguka dhambini ili apate pesa. Uzinzi, ulevi etc. Yuko tayari kutoa mwili wake ili apate fedha za kuikimu familia yake.
Nini kifanyike?
Mwanaume ukipata pesa usikae nazo, mpe mkeo azitunze then mzipangie matumizi zikiwa kwake. Ili shetani akija kukujaribu akute umeishiwa, na akienda kumjaribu mkeo akute amejaa mahela. Mission yake inafeli.
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Contact the business
Telephone
Address
1333