Hassan Issa MEDIA
Life becomes nothing when you loose your character.
13/10/2022
CAPE PENDULINE TIT Ndege anayetengeneza kiota chenye vyumba viwili ili kuwachanganya nyoka.Tundu kubwa la kuingilia chumba cha kwanza ambacho ni cha uongo(false chamber) lipo chini na juu yake Kuna tundu la kuingilia kwenye chumba anachotagia mayai ambacho kina tundu dogo Sana.Hapa kwa haraka nyoka akifika lazima azame kwenye tundu kubwa na akiona hakuna kitu akaondoka huku akiwa amemuacha ndege kwenye chumba cha pili.Cape Penduline anapatikana Angola,Botswana,Zimbabwe, Namibia na Afrika Kusini,Ndege huyu ana urefu wa sentimita 8 na moja ya aina ya ndege wadogo wanao patikana Afrika.
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Contact the school
Telephone
Website
Address
Mwanza