Mr Godfrey

Mr Godfrey

Share

18/09/2024

*FAHAMU MADHARA YA UGONJWA WA BAWASIRI (HEMORRHOIDS) K**A HAUTATIBU MAPEMA*

Tatizo la BAWASILI ni mojawapo ya matatizo ambayo maranyingi yanapotokea humfanya muathirika kuona aibu kuelezea au kwenda hospital ili kupata tiba kwa sababu wengi huhisi wakisema wanaweza kudhaniwa kua wamefanya mapenzi kinyume na maumbile kitu ambacho sio tija unapokua unahitaji tiba.

Bawasili husababishwa na kuvimba kwa mishipa ya damu aina ya vena katika eneo la mfereji wa haja kubwa.

NINI KINASABABISHA BAWASILI?

•Tatizo sugu la kuharisha

•Kupata haja kubwa au kinyesi kigumu

•Uzito kupita kiasi

•Mapenzi kinyume na maumbile

•Umri mkubwa

•kukaa kwa mda mrefu chooni bila kupata choo

DALILI ZA BAWASILI

•Kinyesi kuchanganyika na damu wakati wa kujisaidia

•Maumivu au usumbufu katika njia ya haja kubwa

•kutokwa na kinyesi bila kujitambua(kuvuja kinyesi)

•Kiuvimbe katika eneo la tundu (mlango wa kutolea haja kubwa)

•Ngozi katika eneo la tundu la haja kubwa kuwasha

•Bawasili kutoka nje wakati wa kujisaidia haja kubwa

FAHAMU MADHARA YA BAWASILI

Bawasili ni tatizo ambalo huanza kawaida lakini kadri linavoongezeka huleta madhara makubwa yafuatayo

•Upungufu wa nguvu za kiume

•Kukosa hamu ya tendo la ndoa

•kuathirika kisaikolojia

•Kukosa morari ya kufanya kazi kutokana na kua na maumivu makali

•Kutoa kinyesi kinachonuka sana kutokana na damu kuvuja.

🔹Kuganda kwaa damu ambako Ni hatari zaidi, kwani damu hiyo huweza kusafirishia kwenda sehemu mbalimbali za mwili na kukwama mahali na kuzuia usafirishaji wa damu na kupelekea kupata madhara makubwa.

NINI UFANYE KUJILINDA NA TATIZO HILI?

*Unatakiwa kunya maji mengi kuanzia kwa siku

*Punguza kukaa kwa muda mrefu chooni bila kupata choo

*Kula mboga za majani na matunda na nafaka zisizokobolewa kwa wingi

Hitimisho

K**a unahangaika na tatizo hili bila matokeo wasiliana nas G-SOLUTION +255683-253-844
tukusaidie

26/01/2024

*NAMNA YA KUTIBU BAWASIRI BILA UPASUAJI ( HEMORRHOID )*
G-SOLUTION+255 0683 253 844

Watu wengi husumbuliwa na hemorrhoids au kwa kiswahili (bawasiri).........
..... Tatizo ambalo huwa fanya kuwa na uoga na aibu wa kuelezea na kushindwa hata kwenda Hospitali kupata tiba......

Najua Wenda ata wewe unayesoma, Wenda unajiuliza siku zote ya kuwa Bawasiri ni Ugonjwa gani?....
...Naomba nikusaidie kujibu hili Swali naamini utanielewa vyema Sana na utaweza kujua Bawasiri Ni Ugonjwa gani.....

*Bawasiri au hemorrhoids* ..Ni ugonjwa unao tokana na kuathirika kwa mishipa ya damu ya ndani na nje ya sehemu ya haja kubwa.......
... na wakati mwingine mishipa hiyo huweza kupasuka/kuteleza na kuvuja damu kwenye njia ya haja kubwa..........
....... na kusababisha kujitengeneza vimbe au kinyama ambavyo huweza kubakia kwa ndani, au kujitokeza kwa nje wakati wa kujisaidia haja kubwa..........
....Sasa bila Shaka umeiona Bawasiri jinsi ilivyo.............
.... Naomba nikuonyeshe Aina za Bawasiri.......

1.Bawasiri ya ndani

Hii Ni Aina ya Bawasiri Ambayo vinyama hubakia ndani bila ya kujitokeza kwa nje....
...hasa huambatana na dalili za Kupata choo kigumu.........
......Kupata miwasho sehemu ya haja kubwa......
....Mara nyingine huambatana na kuwepo kwa damu kwenye choo ...

2.Bawasiri ya nje.... Hii ni Aina ya Bawasiri Ambayo kinyama au vimbe hujitokeza kwa nje.....

Aina hii imegawanyika maeneo makuu matatu...

*..Bawasiri stage 1.......*
Hi ni Aina ya Bawasiri ya nje Ambayo kinyama kinajitokeza nje wakati wa kujisaidia na hurudi...... chenyewe baada ya kujisaidia haja kubwa....

*... Bawasiri stage ya 2.*..hii ni stage ya pili ya Bawasiri Ambayo kinyama hujitokeza nje wakati wa haja kubwa....
...na kurudi kwa kurudishwa kwa Kutumia mkono.......

*.. Bawasiri stage ya 3..*....hii Ni stage ya Bawasiri ambapo vinyama hujitokeza na hairudi kwa kuirudisha na mkono..



𝙙𝙖𝙡𝙞𝙡𝙞 𝙯𝙖 𝙗𝙖𝙬𝙖𝙨𝙞𝙧𝙞
👉Ngozi kuwasha katika eneo la tundu la haja kubwa............

👉kupata maumivu makali wakati wa kujisaidia..........

👉kutokea uvimbe katika eneo la tundu la haja kubwa......

👉kujitokeza kwa kinyama katika eneo la tundu hilo.......

👉Choo(kinyesi) kuwa na damu na kunuka harufu mbaya sana.......

👉Kushindwa kukaa kwaamani muda mwingine........

*Nini husababisha Bawasiri kutokea*
..Kuna Mambo mengi Sana Ambayo hupelekea Kupata Tatizo la Bawasiri.................. K**a vile:-

👉Kukaa mahali au kwenye kiti kwa muda mrefu.....mfano wa maofisini, madereva n.k

👉Ulaji mbovu unaopelekea kuwa na shida ya Kupata choo kigumu au kukosa choo........

👉Kufanya mapenzi kinyume na maumbile....

👉Mwanamke mjamzito.

👉Kutokunywa maji ya kutosha, na Kuto kula vyakula vyenye nyuzinyuzi........

👉Kufuga Tatizo la kukosa choo au Kupata choo kigumu kwa muda mrefu.........

𝙢𝙖𝙩𝙞𝙗𝙖𝙗𝙪 𝙣𝙖 𝙟𝙞𝙣𝙨𝙞 𝙮𝙖 𝙠𝙪𝙚𝙥𝙪𝙠𝙖 𝙩𝙖𝙩𝙞𝙯𝙤 𝙡𝙖 𝙗𝙖𝙬𝙖𝙨𝙞𝙧𝙞

Hapa najua wengi wanahangaika mnoo namna ya Kupata suluhisho la kudumu juu ya Bawasiri, .........
....leo nakujuza matibabu yote ya hospitali na ya Kutumia package maalumu ya virutubisho ya kuondoa Tatizo pamoja na kujenga upya mfumo.....
.....matibabu ya bawasiri hutegemea na Aina ya bawasiri pia tiba iliyozoeleka............... ni kukatwa kinyama. japo tiba hii haina matokeo mazuri kwa zaidi ya asilimia 75 kwani hutokea wengi Tatizo hujirudia baada ya Kufanyiwa upasuaji na kukaa miezi kadhaa au miaka michache mbeleni........
.. kwasababu huwa haitibu chanzo cha tatizo hivyo huwa rahisi kujirudia..
.Naomba nikusaidie kukushauri juu ya namna sahihi ya kuweza kupona Bawasiri bila Kufanyiwa upasuaji wowote na Tatizo lisijirudie Tena....
...Mimi K**a Dokta wako na mshauri wako wa afya.........
Ningependa Sana nikushauri Kutumia zaidi package maalumu za supplements ambazo Ni virutubisho maalumu kwa asilimia 100% hazina kemikali kabisa.......
....Ni Suluhisho pekee kwa shida hii kwani imeonekana kuwasaidia wengi Sana wenye changamoto hii na wamepata matokeo mazuri na Tatizo halijarudi....
...hii Ni kwasababu ni package maalumu Ambayo inaenda kujenga mfumo Kwanza pamoja na kuondoa Tatizo husika..... Na kupelekea muhusika Kupata matokeo endelevu ya kudumu........

Hizi pia, zitakusaidia sio tu kwenye bawasiri lakini pia K**A UNA CONSTIPATION(KUTOPATA CHOO/KUPATA CHOO KIGUMU SANA) zitakusaidia kupata choo vizuri kuodoa mawe kwenye figo, kuondoa uric acid. ...........Pamoja na hayo bawasiri ni ugonjwa unaoweza kuepukika kwa kuzingatia............

👉Lishe bora, mbogamboga na matunda............

👉Kunywa maji mengi anagalu glass 6/12 Kwa siku...........

👉Epuka kukaa chooni kwa muda mrefu.....

👉Usiwe unakaa Sana sehemu moja kwa muda mrefu.............

𝙢𝙖𝙙𝙝𝙖𝙧𝙖 𝙮𝙖 𝙩𝙖𝙩𝙞𝙯𝙤 𝙡𝙖 𝙗𝙖𝙬𝙖𝙨𝙞𝙧𝙞
👉kupata upungufu wa damu (anemia).......

👉Kupata tatizo la kutokuweza kuhimil choo..........

👉hupunguza nguvu za kiume na kuondoa hamu ya tendo la ndoa kwa wanawake...............

👉kuathirika kisaikolojia.......

👉kukosa moral ya kufanya Kazi kutokana na maumivu makali, na mateso yanayo sababishwa na Tatizo Hili la Bawasiri..........

*Mwisho*... unaitaji ushauri zaidi na matibabu, Unaweza kuwasiliana nasi au tukakusaidia hata Kupata ushauri bure.....I









Habari na matukio
Oscar oscar
Jacqueline Alex Peter
Vero Sanga
+255683253844

06/12/2023

Umekuwa ukisumbuka na changa moto ya ya uvimbe kwenye mfukon wakizazi na umejaribu kutafuta msaada wa kupata utatuzi wa hiyo changa moto bila mafanikio ngoja nikupe sili .

Tatizo la uvimbe kwenye kizazi hutokea kwenye tumbo la uzazi au ndani ya kizazi kutokana na kuvurugika kwa hormoni, maranyingi hutokea kwenye misuli laini ya mfukon wa kizazi.

DALILI ZA UVIMBE KWENYE KIZAZI
Zifuatazo ni dalili za uvimbe kwenye kizazi
👉Kupata hedhi nyingi kupita kiasi
👉Hedhi kutoka mda mrefu
👉Maumivu ya nyonga
👉Maumivu ya kiuno hasa wakati wa hedhi nk.

VISABABISHI VYA UVIMBE KWENYE KIZAZI
👉 Kuvurugika kwa homoni
👉Kurithi
👉Ulaji mbaya wa vyakula na madaya yenye chemical nk.

MADHARA YA UVIMBE KWENYE KIZAZI
👉Kukosa mtoto
👉Kuishiwa damu mara kwa mara
👉 Kupata kansa ya mfukon wa kizazi.nk

MATIBABU YA UVIMBE KWENYE KIZAZI
Matibabu ya tatizo hili yapo kwa salimia kubwa sana endapo mtu atawai kupata huduma,lakini maranyingi watu Huwa wanafanyiwa upasuaji jambo ambalo nihatali kwa afya zao kwani kwa wengi wamekua wakipata MADHARA makubwa baada ya upasuaji kufanyika.

Hivyo nakushauli pindi unapokuwa na hii changa moto k**a hii tumia virutubisho kwani vutakisaidia kuujenga upya mfumo wako wa uzazi na kuondoa tatizo hilo bila upasuaji.

KWA USHAULI NA MSAADA KAMILI TUWASILIANE KWA NAMBA HII
0683-253-844 Whatsapp au piga 0622-672-458



















Oscar oscar
Habari na matukio Jacqueline Alex Peter
Vero Sanga
0683 253 844

Want your business to be the top-listed Beauty Salon in Mwanza?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Category

Address

Nyasaka Ilemela
Mwanza