Didakos Helper Trove Plus

Didakos Helper Trove Plus

Share

FOUNDER, OWNER and CEO is Didakos Pluseven

Didakos Pluseven Ft Dissah Plusson - Nitalala (Lyric Video) 31/05/2026

https://youtu.be/RDkjrQ24_HI
Watch Now 👆 New Song🔥

Didakos Pluseven Ft Dissah Plusson - Nitalala (Lyric Video) The song “Nitalala” by Didakos Pluseven and Dissah Plusson expresse...

Photos from Didakos Helper Trove Plus's post 24/05/2026

Asema 👉 Moja kati ya vitu ambavyo hunipa amani zaidi ni kuona namna muziki wa bongo (Tanzania) unavyozidi kupata watoto wanao kuja kuwa nguzo katika muziki wetu na kuufanya uzidi kusonga mbele, heshima zangu zote ziende kwa Artists wote walio tutangulia lakini pia nguvu yao ni kubwa sana katika swala la kuukuza muziki wetu.

More Respect: na wote ambao sijawataja.

Mnaiwakilisha nchi vizuri na kwa ubora may God bless you, Tanzania yetu ni nchi iliyo barikiwa vipaji tuzidi kujivunia pia kwa kuwa na producers wakali na wengine wote ambao sijawataja.

Didakos Pluseven Ft Dissah Plusson - Nitalala (Lyric Video) 17/05/2026

https://youtu.be/3Jpu5hCFN8E
Kesho 18/5/2026 Asubuhi Saa Moja Kamili Mapema Jambo Hilo.

Didakos Pluseven Ft Dissah Plusson - Nitalala (Lyric Video) “Nitalala” ni wimbo wa wanamuziki wawili Didakos Pluseven na Dissah Plusson wimbo unaelezea hisia za mapenzi ya kweli, furaha ya kuwa na mtu unayempenda, na ...

08/05/2026

New Release feat. distributed by

Want your business to be the top-listed Media Company in Mwanza?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Address

Mwanza