NURU KUU
18/01/2026
Bwana ataziongoze hatua zako zote. Jua halitakupiga mchana wala mwezi wakati wa usiku atakulinda na mabaya yote,uingiapo na utokapo Bwana atakuwa pamoja nawe.
Jeshi lijapojipanga lipigane nami Moyo wangu hautaogopa. Vita vijapoinuka. Hata hapo nitatumaini.
Zaburi 27:3.
MUNGU akubariki sana mtu wa Mungu.
BWANA yupo pamoja nawe.
06/01/2026
BWANA NI MWENYE NGUVU
Want your business to be the top-listed Beauty Salon in Moshi?
Click here to claim your Sponsored Listing.
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Website
Address
Moshi