MAIKI YA JOLEE

MAIKI YA JOLEE

Share

30/09/2025

MAIKI YA JOLEE ushawahi kugawana kidogo ulichonacho nacho namaskini? Karibu tuchume baraka zabwana. October yaukombozi kupitia baraka tutazovuna kwawatoto hawa. Karibu katika project yetu ya October ushiriki nasi kwachochote kuwafikia zaidi watoto hawa kwani uhitaji nimkubwa

Kutoka 20:12 umiliki katika maandiko tunauombea lakini tutaupata kupitia sadaka, malimbuko, zaka zetu. Tuwajali yatima

Nitext 0623816135 wats up au nipigie

30/09/2025

K**a katika isaya 66 alituahidi kufurika kwamibaraka yetu, basi amini ipo ck watoto hawa kupitia MAIKI YA JOLEE watarejeshewa tabasamu lao 🙏karibu tuungane katika project zetu zamaiki yajolee zinazoanza October hii ktk kuhakikisha tabasamu laviumbe hawa linarejelea. Wats up 0623816135 kwa maelezo zaidi

30/09/2025

MAIKI YA JOLEE 🙏

Je ushawahi kufanyika baraka ktk familia hizi

Karibu 0623816135 tunafungua group wats up ambalo tutafanya project kwamwaka mara tatu. Ukihitaji kujoin tunakukaribisha uwe sehemu yakurejesha tabasamu lahawa viumbe.
Maelezo zaidi tutaelekezana wats up

Want your practice to be the top-listed Clinic in Moshi?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Category

Telephone

Website

Address

Moshi Kilimanjaro
Moshi
1168PASUAMOSHI