Baharia TV
We go beyond headlines to spark informed public dialogue and promote accountability without misinformation.
π PSG NI MABINGWA! π
Baada ya dakika 120 za pambano kali, Paris Saint-Germain wameonyesha utulivu na umakini mkubwa katika mikwaju ya penalti na kufanikiwa kutwaa ubingwa.
Mashujaa wa Paris wameandika historia nyingine kwa kuonyesha moyo wa kupambana hadi dakika ya mwisho na hatimaye kuibuka washindi kupitia mikwaju ya penalti.
Hongera PSG kwa ubingwa huu mkubwa! π΅π΄π
30/05/2026
FT | Arsenal 1-1 PSG β½
Dakika 90 zimemalizika kwa sare ya nguvu! Arsenal na PSG wamegawana pointi baada ya pambano kali lililojaa ushindani, kasi na nafasi za kutengeneza ushindi.
π΄ Arsenal walionyesha uthabiti mbele ya mashabiki wao, huku π΅ PSG wakionyesha ubora wao wa kumiliki mpira na kutengeneza nafasi.
Je, matokeo haya ni haki kwa timu zote mbili? Toa maoni yako π
Kauli kali kutoka kwa Mwambigija imezua mjadala mkubwa, akionya dhidi ya hatua yoyote ya kuifuta CHADEMA na kudai kuwa hatua hiyo inaweza kuibua hasira kutoka kwa vijana wa kizazi cha Gen-Z. Je, una maoni gani kuhusu kauli hii na mustakabali wa siasa za Tanzania?
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Website
Address
Mbeya
367