psb_designs_architectural
14/04/2023
Tumetekeleza kwa Vitendooo
.
13/04/2023
Tunatengeneza Posters, Vipeperushi, Brochures, Stickers, Banners na Matangazo kwa ajili ya Branding kwenye Social Media..... kwa Bei Rahisi sana, Karibu tukuhudumie, Mawasiliano +255768603979. Hapa hapa Psb Ramani Designers.
10/04/2023
Pamoja na Mambo yote,Mhe. ALLY JUMBE MLAGHILA MBUNGE JIMBO LA KYELA amewapatia Uniform za CCM viongozi wote wa Chama Cha Mapinduzi, Kwenye Kata zote 37 zilizopo Wilaya ya Kyela.
Wanachama Walifurahi sana kufanya Kikao hiki, kwa maana. Walipata wasaa wa kubadilishana mawazo mbalimbali pamoja na kutoa Maoni yao juu ya Mstakabali wa kuleta Maendeleo katika Jimbo la Kyela.
Pia Mhe. Mbunge, aliwashukuru sana Viongozi hawa kwa kuja na kutoa Maoni waliyokuwa nayo. Hivyo basi aliwaeleza kuwa yuko Bega kwa Bega na Viongozi wote wa Chama kuanzia ngazi ya Shina hadi Taifa, ili kuhakikisha Ilani ya Uchaguzi inatekelezwa kwa Ubora na Uhakika.
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Contact the business
Telephone
Website
Address
Mbeya