Mwakamol Health
16/05/2022
*UGONJWA WA KUTOKA/ KUOTA VINYAMA PUANI (KITAALAM NASAL POLYPS).*
Dr Sila Julius Mwaselela +255767866299
👉VINYAMA PUANI/ NASAL POLYPS NI NINI???
Nasal polyps hizi ni aina ya vimbe zinazojitokeza toka katika kiwamboute ndani ya pua na paranasal sinuses.( aina yavitundu ndani ya pua). Ni uotaji wa mucosa uliozidi kawaida ambao mara nyongi huambatana na Allergic Rhinitisna pia huwa haviumi na ni huru katika mwenendo ndani.( Freely movable)
👉ELEWA KUHUSU NYAMA (Nasal polyps)
Hizi nyama za pua (Nasal polyps) zimegawanyika katika makundi mawili ambayo kitaalamu yanajulikana k**a antrochoanal polyps na ethmoidal polyps. Antrochoanal polyps huchipua ama kuota toka katika vijitundu viitwavyomaxillary sinuses na hizi huwa ni mara chache kuwapata watu. Ethmoidal polyps hizi hichipua ama huota toka katika vijitundu viitwavyo ethmoidal sinuses. Antrochoanal polyps mara nyingi huadhili tundu moja ya tu pua wakati ethmoidal polyps huwa ni nyingi na huathili tundu zote za pua.
HIASHIRIA/ DALILI ZA MTU MWENYE TATIZO
Kwa kawaida mtu mwenye nyama aina hii hupata viashiria k**a..
👉Kuhisi pua kuziba,
👉sinusitis,
👉Kupoteza uwezo wa kunusa harufu aina yoyote.
👉Kupata maumivu ya kichwa.
Lakini pamoja na kuziondoa kwa njia ya upasuaji nyama hizi huwa zinatabia ya kujirudia kuota tena, karibu asilimia 70% ya upasuaji hujirudia. Upasuaji unahitaji umakini mkubwa ili kuepusha uharibifu wa maeneo mengine ndani ya pua na jicho (orbit matter).
AINA ZA VINYAMA ( Nasal polyps.)
1. ANTTOCHOANAL
Aina hii huwa na tabia kuu tatu, japo siblazima zitokee zote kwa pamoja,
👉Huwa ni moja na hathili tundu moja la pua(Unilateral)
👉Lakini aina hii mara nyingi huwapata zaid watoto
👉 Inaweza kuanza kuota kutokea kwenye mirija ya sinus kwenye taya
2: ETHMOIDAL
Aina hii ya pili huwa na tabia kuu mbili...
👉 Kwanza kabisa huathili tundu zote mbili za pua (Bilateral)
👉 Tofauti na ile ya kwanza,, hii huwa Mara nyingi huawapata watu wazima
*_VISABABISHI VYAKE_*
Jinsi hizi nyama za puani zinavyojitokeza bado haifahamiki, ambapo kitaalamu tunasema "IDIOPATH" japo inatazamiwa kuwa nyingi husababishwa na mzio kitaalamu huitwa Allergy na kwa Mara chache sana husababishwa na cyst fibrosis.
*MAGONJWA YANAYO AMBATANA NA TATIZO HILI*
👉Chronic rhinosinusitis
👉Kartagener's syndrome
👉Young's syndrome
👉Churg-strauss syndrome
👉Asthma
👉Aspirin intolerance
👉Cystic fibrosis
*MATIBABU PEKEE* .
👉 K**a tulivyoona namna ambavyo tatizo hilo huwa husababishwa na tatizo lingine na imeonekana hakuna chanzo maalum..
Ila imeonekana kwa asilimia kubwa ni kwa wale wagonjwa / watu wenye matatizo ya allergy/ mzio na Athsma hivyo basi kufanya upasuaji si tiba na ndiyo maana tatizo hili hujirudia..
IPO hivi katika watu 10 waliofanyiwa upasuaji basi 7 wamerudiwa na tatizo..
nami kwaajili ya kupata msaada zaidi na matibabu yasiyo itaji upasuaji ktk kutibu kabisa tatizo hili la vinyama puani *+255767866299*
*TIBA YA KUDUMU YA BAWASIRI {NDANI NA NJE}*
Dr Sila Julius Mwaselela +255767866299
*BAWASIRI {HEMORRHOIDS/PILE*
âž– Ni ugonjwa unaotokana na kuvimba kwa mishipa ya damu katika mfereji wa njia ya haja kubwa na kuoelekea kuota kinyama sehemu ya haja kubwa
*CHANZO CHA BAWASIRI*
âž– Tabia ya kuketi sehemu moja kwa muda mrefu mfano; madereva
âž– Tatizo sugu la kuharisha
âž– Ujauzito
âž– Uzito wa mwili kupita kiasi
âž– Kufanya ngono kupitia tundu la haja kubwa (kulawitiwa)
âž– Kupata haja kubwa ngumu
âž– Kua na mgandamizo mkubwa tumboni
âž– Kunywa pombe
âž– Kula sana nyama nyekundu
âž– Vidonda vya tumbo
âž– Ngiri(Chango/Hernia
âž– Kula sana pilipili
âž– Kunyanyua vitu vizito
*DALILI ZA BAWASIRI*
âž– Kupata muwasho mkali katika eneo la juu la haja kubwa
âž– Kujitokeza kwa kinyama eneo la haja kubwa
âž– Kutokewa na kiuvimbe katika tundu ya haja kubwa
âž– Kupata kinyesi chenye damu
âž– Kupata maumivu makali wakati wa
kujisaidia haja kubwa
âž– kutokwa na uteute sehemu ya haja kubwa
âž– Kupata maumivu makali wakati wa kujisaidia haja kubwa na kusababisha mishipa ya sehemu ya haja kubwa kukwanguliwa
âž– Kuna uwezekano mkubwa wa kupata saratani ya utumbo (Cancer) kwasababu kile kinyama kinakaa k**a kidonda
âž– Uume kusinya (unapoteza urefu na ukak**avu)
*MADHARA YA BAWASIRI*
âž– Upungufu wa damu mwilini
âž–Kutokwa na kinyesi bila kujitambua
âž– Kukosa hamu ya kufanya tendo la ndoa
âž– Kupungukia nguvu za kiume (kwa wanaume)
âž– Kupungukiwa na uwezo wa kufanya kazi kutokana na maumivu
âž– Kupata tatizo la kisaikolojia
âž– Kutopata ujauzito
âž– Mimba kuharibika
Call➖text&sms➖whatsapp👇
+255767866299
SHARE kwenye MA GROUP NA WATU MBALI MBALI UWASAIDIE WENGI WANAO TESEKA 🙏🙏🙏
*TIBA YA KUDUMU YA BAWASIRI {NDANI NA NJE}*
*Mawasiliano: +255767866299/+255683522711
*BAWASIRI {HEMORRHOIDS/MGOLO*
âž– Ni ugonjwa unaotokana na kuvimba kwa mishipa ya damu katika mfereji wa njia ya haja kubwa na kuoelekea kuota kinyama sehemu ya haja kubwa.
*CHANZO CHA BAWASIRI*
âž– Tabia ya kuketi sehemu moja kwa muda mrefu mfano; madereva
âž– Tatizo sugu la kuharisha
âž– Ujauzito
âž– Uzito wa mwili kupita kiasi
âž– Kufanya ngono kupitia tundu la haja kubwa (kulawitiwa)
âž– Kupata haja kubwa ngumu
âž– Kua na mgandamizo mkubwa tumboni
âž– Kunywa pombe
âž– Kula sana nyama nyekundu
âž– Vidonda vya tumbo
âž– Ngiri(Chango/Hernia
âž– Kula sana pilipili
âž– Kunyanyua vitu vizito
*DALILI ZA BAWASIRI*
âž– Kupata muwasho mkali katika eneo la juu la haja kubwa
âž– Kujitokeza kwa kinyama eneo la haja kubwa
âž– Kutokewa na kiuvimbe katika tundu ya haja kubwa
âž– Kupata kinyesi chenye damu
âž– Kupata maumivu makali wakati wa
kujisaidia haja kubwa
âž– kutokwa na uteute sehemu ya haja kubwa
âž– Kupata maumivu makali wakati wa kujisaidia haja kubwa na kusababisha mishipa ya sehemu ya haja kubwa kukwanguliwa
âž– Kuna uwezekano mkubwa wa kupata saratani ya utumbo (Cancer) kwasababu kile kinyama kinakaa k**a kidonda
âž– Uume kusinya (unapoteza urefu na ukak**avu)
*MADHARA YA BAWASIRI*
âž– Upungufu wa damu mwilini
âž–Kutokwa na kinyesi bila kujitambua
âž– Kukosa hamu ya kufanya tendo la ndoa
âž– Kupungukia nguvu za kiume (kwa wanaume)
âž– Kupungukiwa na uwezo wa kufanya kazi kutokana na maumivu
âž– Kupata tatizo la kisaikolojia
âž– Kutopata ujauzito
âž– Mimba kuharibika
Call➖text&sms➖whatsapp👇
Mawasiliano: +255767866299/+255683522711
Click here to claim your Sponsored Listing.