Songwe kwetu
06/03/2026
Iran imetangaza kwamba ni meli za nchi tatu pekee — China, Pakistan na Urusi ndo zinazoruhusiwa kupita katika mlango wa Bahari wa Hormuz.
Mataifa hayo ndo yamekuwa kinara katika kutoa msaada wa kijasusi wakati huu wa vita dhidi ya Marekani na Israel. Mlango wa bahari wa Hormuz ni mojawapo ya njia muhimu zaidi duniani kwa usafirishaji wa mafuta ghafi.
Sehemu kubwa ya mafuta yanayouzwa katika soko la kimataifa hupitia kwenye njia hiyo, hivyo udhibiti wa Iran katika eneo hilo unakwenda kuathiri soko la nishati duniani.
hii ndio inaitwa mfaye akufaaye 💥💥💥
Want your public figure to be the top-listed Public Figure in Mbeya?
Click here to claim your Sponsored Listing.
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Contact the public figure
Telephone
Website
Address
Vwawa
Mbeya
Mbeya