StellarShughuli
25/07/2023
You can make it with Me.
Just talk to Me
30/06/2023
Wabeja sana & kheri ya msimu wa pili wa mwaka
🙏 .hub
23/06/2023
K**a mipango haiendi ulivyotarajia, Unasumbuliwa na Maradhi na mikiki, shush pumping na fahamu utashida. Kumbuka "Mungu hampi mja mtihani asioweza kuumudu au kuushishinda" (Quran 2:286)
Na Ijumaa Ikawe yenye Baraka kwako
22/06/2023
Wakati wa kusoma. Kadri unavyopanda madarasa na madaraja mitihani na mambo huongezeka ugumu.
Ndivyo hivyohivyo kwenye Biashara kadri inavyokua ndio inakuhitaji ufanye kazi kwa zaidi na kimkakati.
Na matokeo yake ni matamu na yakutoa kwenye daraja dhaifu kwenda kwenye daraja bora.
Tuendeleee kupigania mchele 🥂 na shughuli mnipatie ni / ni
📸 🙏
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Contact the business
Website
Address
Iringa
Opening Hours
| Monday | 09:00 - 17:00 |
| Tuesday | 09:00 - 17:00 |
| Wednesday | 09:00 - 17:00 |
| Thursday | 09:00 - 17:00 |
| Saturday | 09:00 - 17:00 |