YONA DC
29/04/2026
Tuzo za Muungano Cup 2026
Mfungaji Bora : Mwalimu 🇹🇿(Simba)
Golikipa Bora: H. Abel (Simba)
Mchezaji Bora Wa Mashindano: De Reuck (Simba)
Mchezaji Kijana: H. Mbegu (Simba)
Kocha Bora: Barker (Simba)
Mwalimu amefungana mabao na Dube, amepewa tuzo kwasababu amefunga bao la kimaamuzi kwenye Fainali