Fimedia Service
17/03/2025
01/01/2025
16/12/2024
FIMEDIA SERVICE
Wataalamu wa Huduma za Mtandaoni, Graphic Design, na IT Service
*Je, unahitaji akaunti ya Ajira Portal iliyo kamili na inayokidhi viwango vya kitaalamu? Fimedia Service tunakusaidia kuset na kutengeneza akaunti yako kwa usahihi ili kuhakikisha unapata nafasi bora za ajira kwa urahisi!*
*Tunakusaidia katika:*
β
Kutengeneza akaunti ya Ajira Portal (kwa mifumo mbalimbali)
β
Kuandika CV ya kuvutia waajiri
β
Kuandaa cover letter inayovutia
β
Kuweka taarifa zako kwa usahihi ili kuongeza nafasi zako za ajira
*Kwanini utuchague?*
β Huduma ya haraka na bora
β Bei nafuu
β Usaidizi wa kitaalamu kila hatua
Wasiliana nasi leo:
π 0614317185
π 0785914409
FIMEDIA SERVICE β Wataalamu wa IT kwa mafanikio yako ya ajira!
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Contact the business
Telephone
Website
Address
Iringa