Mayunga Entertainment

Mayunga Entertainment

Share

''Struggling Hard Always Becomes Good Perfomance No Matter What Times De Past U Failed''

15/05/2026

K**a Nawaona Tena Wanataka Kujaa Kwenye Mfumo 😁💪👇

23/01/2026

Alisikika Mchambuzi Mmoja Akisema Al Ahly Hawana Ubora Kwa Sasa, Hivyo Atakuwa na Presha Kubwa Kuliko Utopolonaizesheni. Ukipata Nafasi Kumwambia Jambo Utaanzia Wapi?
Viwili Vinalegeza Miguu 🤣

21/01/2026

Huyu mwamba alipendwa na mashabiki karibia 98% mchezaji hana mipaka popote kambi na haya ni maisha yake hapangiwi lini aende wapi, wala usiwafundishe watu cha kuongea wana uhuru ukiondoka lazima uitwe msaliti ukirudi unakaribishwa tena kwa upendo zaidi ya mwanzo 🤣💪✍️.

13/01/2026

Ikifika swala la kumtambua MVP mnaleta habari za magoli ya penaliti, haya fungeni na nyinyi k**a rahisi 🤣💪✍️

Want your public figure to be the top-listed Public Figure in Geita?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Category

Address

Nyanza
Geita