Faima Shuttle Bus Service
FAIMA SHUTTLE
THE ROAD TO COMFORT STARTS
· � Starting 15 Sept 2025
· � Book & Pay Easy ( M-Pesa, Card, Cash)
· � Safe & Comfortable Rides
· � Reliable Faima Shuttle: Read to go.
18/02/2026
Tunakutakia Ramadan Kareem
18/02/2026
Tunakutakia Kwaresma Njema
29/01/2026
Usafiri Bora Unaotimiza Ndoto Yako
Abiria wanaosafiri na Treni ya SGR kutoka Dar es salaam kuelekea mikoa ya Morogoro na Dodoma wanaendelea kufurahia huduma ya Faima Shuttle Bus Service kwa kuepukana na changamoto ya Usafiri wa kufika katikati ya miji hukia lakini pia huduma hii inaguza viunga vya mji yote husika kwa wakati mmoja.
Tangu kuanza kwa kwa huduma hii wasafiri wamekuwa wakifurahia usafiri wa uhakika kutokana na upatikanaji wa mabasi ya Faima katika train station za Dodoma na Morogoro ambapo hapo awali kabla ya kuanza kwa huduma hii ilikuwa changamoto kubwa kwa wasafiri wanaposhuka katika treni, Kupitia shirika la reli Tanzania TRC kufungua mlango wa wawekezaji kuboresha utoaji wa huduma kwa watanzania basi changamoto hiyo imefikia kikomo.
Riding Tanzania's New Electric SGR + Shuttle Bus Full Travel Experience
24/11/2025
Nauli sio kikwazo tena unaposhuka kwenye SGR Train Samia Suluhu Dodoma kutoka hapo kwenda unapoelekea hakikisha unapata huduma ya Faima Shuttle Bus Service kwa gharama ya 5,000/= tuu Hakika ni mkombozi
22/11/2025
Safiri kifahari kwa 5,000/= baada ya kushuka kwenye SGR Trein Dodoma na Morogoro
22/11/2025
Je umewahi kusumbuka na mizigo pale unapokuwa safarini hasa safari ya Dodoma au Morogoro? Sasa suluhisho limepatikana ukishuka tuu kwenye Train ya SGR basi utakutana na mabasi ya hapo utakuwa umepata usafiri wa uhakika wewe pamoja na mizigo yako.
26/10/2025
HAKIKISHA UNAPATA HUDUMA
YA FAIMA SHUTTLE BUS SERVICE
UNAPOSHUKA KATIKA TRENI
YA SGR MOROGORO STESHENI
YA SAMIA SULUHU KUELEKEA
KATIKA VIUNGA VYOTE VYA
MJI NA PIA WAKATI WA
KUPANDA TRENI YA SGR
DODOMA
26/10/2025
HAKIKISHA UNAPATA HUDUMA
YA FAIMA SHUTTLE BUS SERVICE
UNAPOSHUKA KATIKA TRENI
YA SGR MOROGORO STESHENI
YA JAKAYA KIKWETE KUELEKEA
KATIKA VIUNGA VYOTE VYA
MJI NA PIA WAKATI WA
KUPANDA TRENI YA SGR
MOROGORO
26/10/2025
Safari yako inastahili kuwa ya kipekee, toka mwanzo hadi mwisho.
Hii ndiyo ahadi yetu kwa usalama wako, starehe yako, na utulivu wako wa roho ukiwa safarini na FAIMA SHUTTLE BUS SERVICE