Bancabc
Huu ni ukurasa wetu mahususi kwa ajili uhabarishaji Umma juu ya huduma yetu adhimu ya Mkopo Rahisi kwa ajili ya watumishi wa Umma.Sasa kupitia ukurasa huu Wewe mtumishi wa Umma utajifunza mengi kuhusu huduma ya Mkopo Rahisi kutoka BancABC. Pata mkopo kuanzia laki 5 hadi milioni 40.Pata mkopo wa kuanzia miezi 6 hadi miezi 96 kwa riba nafuu zaidi kutoka BancABC.Fanya top up hata k**a ulikopa mwezi uliyopita.
10/06/2021
Habari kubwa mjini hivi sasa ni MKOPO RAHISI kutoka BancABC.Pata mkopo hadi milioni 40 ndani ya masaa 48 tu tena kwa riba nafuu mno.Uza deni lako kutoka mabenki na taasisi nyingine za mikopo.Tembelea matawi yetu na vituo vyetu vya huduma kupata huduma hii.
Au wasiliana nasi kupitia +255625887699.
Huduma yetu ya mkopo rahisi bado inaendelea.Fanya top up ya mkopo wako Sasa bila shida yoyote.Mikopo kwa wateja wapya inaendelea K**a kawaida.Uza deni lako kutoka benki nyingine au taasisi yoyote ya mkopo tutanunua deni lako na kukukomboa kutoka kwenye mikopo yenye riba kubwa kuja BancABC yenye riba nafuu na masharti mapesi kuyatekekeza.BancABC huduma bora,mkopo bora kwa maisha na maendeleo yaliyo bora kwako mteja.
Tembelea tawi letu lililo karibu nawe au tupigie simu:+255 625887699
01/10/2020
Je,wewe ni mtumishi wa Umma na bado unahangaika na mkopo kwa ajili yako?.Je,una deni la muda mrefu kutoka benki ama taasisi yoyote kifedha linakusumbua??.Je,umeomba mkopo kwenye mabenki ama taasisi nyinge lakini umenyimwa kisa wewe ni mwajiriwa mpya????.
USIJALI!;BancABC ndiyo kimbilio lako.Pata mkopo hadi milioni 40 kwa riba nafuu kabisa,Chukua mkopo hadi wa miezi 96 huku ukinufaika na nafasi ya kufanya Top up kila unapopatwa na uhitaji wa kifedha.Pia uza deni lako kwa riba mteremkooo kabisa!!!?
Tembelea matawi yetu popote nchini ama piga +255 625887699 kwa maelezo zaidi.
27/09/2020
Mkopo Mkopo Mkopo.
Mkopo haupo ili kukwamisha mambo katika maisha;bali mkopo upo ili kutimiliza baadhi ya mambo yaliyokwama ama kuyahuisha.Mkopo ni sehemu ya njia za utatuzi wa baadhi ya changamoto na ni fursa katika maisha kwake yule anayekopa na kulenga kujikwamua ama kukuza kipato chake na kujiletea maendeleo.
BancABC kwa kutambua hilo ndiyo maana ikakuletea huduma hii adhimu ya Mkopo rahisi.Mkopo ambao hauna masharti mengi na magumu ili kuupata.Mkopo huu ni mahususi kwa ajili ya Watumishi wa Umma na hata yule aliyeajiriwa mwezi uliyopita anayo fursa kupata mkopo huu.Huu ni mkopo unaokupa hadi milioni 40 na unarejesha kwa miezi 6 hadi miezi 96.Tena ni mkopo wenye Bima inayokubeba mteja katika mambo mengi uwapo ndani ya mkopo.Hujachelewa tembelea matawi yetu mikoani kote ama ofisi zetu za huduma ya mkopo rahisi zilizopo karibu nawe wilaya zote nchini au piga +255625887699 kupata maelezo zaidi
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Telephone
Website
Address
Dodoma
1126
Opening Hours
| Monday | 09:00 - 17:00 |
| Tuesday | 09:00 - 17:00 |
| Wednesday | 09:00 - 17:00 |
| Thursday | 09:00 - 17:00 |
| Friday | 09:00 - 17:00 |
| Saturday | 09:00 - 17:00 |
| Sunday | 09:00 - 17:00 |