titustembo
24/01/2025
Linda sana Moyo wako kuliko vyote usiruhusu hasira chuki na mabaya yakae moyoni
30/10/2024
Wakati mwingine ni Bora Uishi na Mtu aliekaribu yako K**a hautoishi nae Tena Mpende na kumthamini K**a hutopata nafasi Tena Mpe Ile nafasi ambayo unaona inamfaa wakati wa Sasa Mtumie Sana K**a hutomtumia tena ili Badae ucje kuwa na Majuto Maana wakati upo na wakati unakuja Ambao utatamani kumwona lakini hutomwona Utatamani Kumsikia lakn hutomsikia Na kumpata Mwingine inaweza ikachukua mda mrefu au usimpate kabisa
Want your public figure to be the top-listed Public Figure in Dodoma?
Click here to claim your Sponsored Listing.
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Contact the public figure
Telephone
Address
Mnada Mpya, Mtaa Wa MAZENGO, Kitongoji Cha MPHUJI, Kata Ya ZUZU
Dodoma
Dodoma