Bfsuma....

Bfsuma....

Share

04/10/2022

● *FAIDA ZA VIDONGE VYA PROSTATRELAX* *○ Inalinda tezi na kuzui kuongezeka kwa tezi dume ○ Inadumisha Afya ya Mkojo ○ Inaboresha ufanisi wa tendo la ndoa ○ Inaondoa maumivu ya kiuno na wakati wa kukojoa ○ Husaidia kufika kileleni vizuri bila maumivu. ● *VIUNGO* *○ Prostaep-I (USA Patent) ● *NANI ANATUMI* ○ *Wanaume wenye shida ya tezi dume haswa wenye umri zaidi ya miaka 40. ○ Wanaume wenye shida ya kukojoa vizuri ○ Wenye shida za nguvu ya kiume. °> Na Wanaume Wenye Shida Ya Mbegu. ( S***m ). ● *MATUMIZI* ○ *Vidonge 2 mala 3 kwa siku. ○ Ukitumia kwa muda mrefu ( miezi 3 ) bila kuacha zinamatokeo mazuri zaidi - Ikiwemo Kuponya Tezi Dume Iliyovimba Bila Kufanya Upasuaji. *PROSTATE RELAX* *Furaha Ya Mwanaume*. *Ili Kuipata Tupigie Kupitia 0622104687*

21/08/2022

*Tatizo La Kufunga Choo – constipation*
Kufunga choo ni tafsiri ya neno la kiingereza “constipation”. Kitaalamu, neno constipation linatumika kuelezea hali ambapo mtu anapata choo pungufu ya mara tatu kwa wiki. Na k**a mtu atakosa choo kwa wiki kadhaa au muda mrefu, neno chronic constipation hutumika. Hali hii humpata kila mmoja wetu wakati fulani katika maisha. Muda unaopita kati ya choo kimoja hadi kupata choo kingine hutofautiana kutoka mtu mmoja hadi mwingine. Kuna watu wanaopata choo mara tatu kwa siku, wengine hupata mara chache kwa wiki. Kwenda siku tatu bila kupata choo huchukuliwa k**a ni muda mrefu sana. Baada ya siku tatu, choo huwa kigumu zaidi na ni shida kukitoa. Kukosa choo -constipation- huweza kuathiri utendaji kazi wa mtu. Tiba ya constipation hutegemea chanzo chake, lakini wakati mwingine, hakuna chanzo maalumu kinachoeleweka.

*Dalili Za Kufunga Choo*
✍️Kupata choo pungufu ya mara tatu kwa wiki
✍️Kutoa choo chenye mabongebonge au kigumu
✍️Kutumia nguvu wakati wa kupata choo
✍️Kuhisi k**a kuna kitu kimeziba kwenye rektamu kinachozuia choo kisitoke
✍️Kuhisi kwamba huwezi kutoa choo chote
✍️Kuhitaji msaada wakati wa kutoa choo, k**a kutumia mikono kuliminya tumbo au kutumia vidole kuchokonoa kinyesi kwenye rektamu.

*Sababu Za Kufunga Choo*
Kufunga choo mara nyingi hutokea wakati mabaki au kinyesi kinapotembea taratibu mno ndani ya mkondo wa mfumo wa mmeng’enyo wa chakula au kinaposhindwa kutolewa nje kupitia rektamu, hali ambayo hukifanya kinyesi kuwa kigumu na kikavu. Tatizo sugu la kukosa choo linaweza kuwa na sababu nyingi:
*1️⃣Kuziba kwenye utumbo mpana au rektamu*
Kuziba ndani ya utumbo mpana au rektamu kunaweza kupunguza kasi au kusimamisha utembeaji wa kinyesi. Sababu zaweza kuwa:
👉Mipasuko midogomidogo kwenye ngozi inayozunguka sehemu ya haja kubwa (a**l fissure)
👉Kuziba ndani ya utumbo (bowel obstruction)
👉Saratani ya utumbo mkubwa (colon cancer)
👉Kupungua upana wa utumbo mpana (bowel stricture)
👉Saratani nyingine za kwenye tumbo zinazouminya utumbo mpana
👉Saratani ya rektamu
👉Kutuna kwa rektamu kupitia ukuta wa nyuma wa uke (rectocele)
*2️⃣Matatizo ya neva kuzunguka utumbo mpana au rektamu*
Matatizo katika mfumo wa neva unaweza kusababisha neva zinazoamuru misuli ya utumbo mpana na rektamu kubana na kusukuma chakula kwenye utumbo. Sababu zinaweza kuwa:
👉Uharibifu wa neva za zinazosimamia shughuli za mwili (autonomic neuropathy)
👉Kuumia kwa uti wa mgongo
👉Kiharusi
*3️⃣Shida kwenye misuli inayohusika na utoaji choo*
Matatizo ya misuli (pelvic muscles) inayohusika na utoaji wa mabaki ya chakula yanaweza kusababisha tatizo sugu la kufunga choo. Matatizo hayo ni pamoja na:
👉Misuli ya pelvic kushindwa kujilegeza ili kuruhusu kinyesi kupita (anismus)
👉Misuli kushindwa kufanya mawasiliano mazuri ya kubana na kuachia (dyssynergia)
👉Kudhoofu kwa misuli ya pelvic
*4️⃣Hali zinazoathiri homoni za mwili*
Homoni husaidia kuweka uwiano wa majimaji ndani ya mwili. Magonjwa na hali zinazoathiri uwiano wa homoni zinaweza kusababisha kufunga choo, ikiwa ni pamoja na:
👉Kisukari
👉parathyroid kufanya kazi zaidi (hyperparathyroidism)
👉Ujauzito
👉Kufanya kazi kwa kiwango cha chini kwa thyroid (hypothyroidism)

*Madhara Ya Kufunga Choo*
Tatizo la muda mrefu la kufunga linaweza kuleta madahara yafuatayo:
👉Kuvimba veni kwenye sehemu ya haja kubwa (hemorrhoids). Kutumia nguvu wakati wa kupata
choo kunaweza kusababisha uvimbe kwenye veni ndani na kuzunguka sehemu ya haja kubwa na kukusababisshia ugonjwa wa bawasiri.
👉Kuchanika ngozi ndani ya sehemu ya haja kubwa (a**l fissure). Choo kikubwa au kigumu kinaweza kusababisha michaniko midogomidogo kwenye hio
👉Choo kutotoka (f***l impaction). tatizo sugu la kufunga choo linaweza kusababisha kujikusanya kwa choo kigumu kitakachokwama ndani ya utumbo.
👉Utumbo kutoka nje ya haja kubwa (re**al prolapse). Kutumia nguvu wakati wa kupata choo kunaweza kusababisha kiasi fulani cha utumbo kunyumbuka na kuchungulia nje ya sehemu ya haja kubwa

Kwa matibabu zaidi call us *0622104687*

Want your practice to be the top-listed Clinic in Dodoma?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Category

Telephone

Website

Address

Dodoma
Dodoma