Gerwalda wellness
Tuwasaidia watu kuondoka na changamoto ya mfumo ya mmeng'enyo wa chakula k**a; (gesi na acid nyingi tumboni, kiungulia, vidonda vya tumbo na bawasiri ) na mfumo wa uzazi hususani nguvu za kiume.
Je wewe mwanaume umekuwa ukisumbuliwa na tatizo lolote kwenye suala zima la afya ya uzazi na hujua njia ya kutatua tatizo hilo??
Zipo changamoto nyingi zinazowapata wanaume kwenye mfumo mzima wa afya ya uzazi k**a vile
# Uume kuwa legelege(kukosa nguvu)
# Kukosa hamu ya tendo la ndoa.
# Upungufu wa nguvu za kiume.
# kKukosa hamu na nguvu ya kuendelea na tendo la ndoa
# Mbegu kutokuwa imara.
# Kuwa na msongo wa mawazo.
Hizo ni baadhi ya changamoto zinazowakumba wanaume wengi kwenye mfumo wa uzazi.
Hivyo basi vipo virutubisho vitakavyokusaidia kuondokana na changamoto hizo.
Kwa mawasiliano zaidi usisite kupiga simu au whatsapp no+255747623805.
08/11/2021
JE WAJUA CHANZO CHA BAWASIRI NA MADHARA YAKE?
Bawasiri chanzo chake ni mishipa ya vein inayozunguka sehemu ya haja kubwa kuvutika kutokana na msukumo na hatimaye kuvimba
Bawasiri huendelea kukua sehemu ya kutolea haja kubwa.
Baadhi ya sababu zinazosababisha bawasiri ni;
# Msukumo mkubwa wakati wa kutoa haja kubwa.
# Kuwa na uzito mkubwa.
# Mimba.
# kuharisha au tatizo la kukosa choo.
# Kutumia muda mrefu chooni wakati wa kujisaidia haja kubwa.
ZIFUATAZO NI BAADHI YA ATHARI ZITOKANAZO NA BAWASIRI
# Kukosa hamu ya tendo la ndoa.
# upungufu wa nguvu za kiume.
# Upungufu wa damu mwilini(anemia).
# Kutokwa na kinyesi bila kujitambua.
# Kupata tatizo la kisaikolojia
# upungufu wa nguvu za kufanya kazi kutokana na maumivu.
HIVYO BASI USIIENDELEE KUBAKI NA CHANGAMOTO BAWASIRI INATIBIKA.
Kwa maelezo zaidi piga simu au whatsapp no +255747623805.
04/11/2021
Usikubali ndoa yako ivunjike,usikubali mahusiano yako yaporomoke ikiwa unapitia changamoto ya mfumo wa uzazi kwa mwanaume au mwanamke
Package hii itakudaidia kwenda kumaliza changamoto zako zote zinazohusiana na mfumo wa uzazi
Kwa maelezo zaidi usisite kupiga simu au whatsapp no +255747623805.
03/11/2021
Watu wengi wamekua wakisumbuliwa na maumivu ya kiuno,mgongo na na miguu hata wakiwa watoto wadogo
Kupitia package hii itakusaidia kuondoa maumivu yote na kurdisha uteute kwenye joints na kukupa nguvu zaidi
Kwa maelezo zaidi usisite kupiga simu au whatsapp no +255747623805
30/10/2021
29/10/2021
VIASHIRIA GANI VITAKUONESHA KUWA MFUMO WA MMENG'ENYO WA CHAKULA UNA TATIZO.
Watu wengi wamekua wakipitia changamoto ya mfumo wa mmeng'enyo wa chakula bila wao kujua mpaka atakapoanza kuona tatizo limetokeza na kusababisha baadhi ya mifumo ya mwili kushindwa kufanya kazi kwa kiwango kinachotakiwa .
Vifuatavyo ni baadhi ya viashiria vitakavyo kuonesha kuwa una changamoto kwenye mfumo wa mmeng'enyo wa chakula.
# Tumbo kujaa gesi na kunguruma.
# Kuwa na hisia ( mood )mbaya au isiyoeleweka k**a hasira.
# Kichwa kuuma mara kwa mara
# Kutokupata choo na kigumu (constipation)kutokana na milo mtu anayokula.
# Mwili kuchokachoka, kuwaka moto na kusahausahau.
# Kuwa muonekano mbaya wa ngozi (ngozi kukosa mvuto na mng'ao wake) na kupa allergy mbalimbali
NINI CHA KUFANYA ILI KUONDOKANA HALI HII.
Zipo njia nyingi za kuondokana na hali hii ikiwemo kuboresha mfumo wa maisha ya mtu hususani ulaji unao endana na mahitaji ya mwili na siyo kula ili kushiba tu.
Njia hii nyingine imekuwa msaada hasa kwa watu ambao changamoto hii imekuwa sugu.
Kufahamu zaidi juu ya kuondokana na hali hii piga au WhatsApp +255747623805.
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Telephone
Website
Address
Dodoma