One Answer Microfinance Limited
19/05/2026
Tupo mtaani, tupo karibu na wewe! ππ
Maafisa wetu wiki hii wapo Sokoni Mabibo wakikutana na wananchi, kusikiliza mahitaji yenu na kutoa taarifa kuhusu huduma zetu za mikopo.
Tunaamini huduma bora inaanzia kuwa karibu na wateja wetu π€
Umetuona Mabibo? Njoo utuone au wasiliana nasi leo.
Tuma DM au piga/WhatsApp: +255 759 432 240 π²
MABIBO TUNAKUJA! π’
Leo tutakuwa Sokoni Mabibo tukiwafikia wananchi na kutoa taarifa kuhusu huduma zetu za mikopo πΌ
Una maswali? Unahitaji mkopo? Au unataka kujua vigezo na utaratibu? Huu ndio muda wako wa kupata majibu ana kwa ana π
Usikose kututembelea.
Tufuate au piga/WhatsApp: +255 759 432 240 π²
Umechoshwa na mikopo yenye riba kubwa? π©
Kulipa zaidi, presha zaidi, na mzigo usioishaβ¦ hapana tena β
One Answer Microfinance tunakuletea mikopo yenye masharti rafiki na huduma ya haraka inayokupa utulivu wa kifedha πΌ
Usiendelee kubeba mzigo usio wa lazima.
Chukua hatua sasa π
Tuma DM au piga/WhatsApp: +255 759 432 240 π²
Biashara yako ina ndoto kubwaβ¦ je, ina mtaji wa kuifikisha huko? π
Usikubali changamoto ya fedha ikuache nyuma.
Kuza biashara yako nasi kupitia mikopo yenye masharti rafiki na huduma ya haraka. πΌ
Mafanikio makubwa huanza na hatua moja.
Chukua hatua leo π
Tuma DM au piga/WhatsApp: +255 759 432 240 uanze safari ya ukuaji wa biashara yako π²
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Contact the business
Website
Address
Dar Es Salaam
Opening Hours
| Monday | 09:00 - 17:00 |
| Tuesday | 09:00 - 17:00 |
| Wednesday | 09:00 - 17:00 |
| Thursday | 09:00 - 17:00 |
| Friday | 09:00 - 17:00 |
| Saturday | 09:00 - 17:00 |