Baba Sabs

Baba Sabs

Share

10/02/2024

Pumzika kwa amani Mzee Edward Ngoyai Lowasa.

27/01/2024

Nakutakia maisha marefu yenye amani na afya, Mh. Rais mama . Heri ya siku ya kumbukizi kuzaliwa kwako, mama.

24/12/2023

Ukiwa sio mla rushwa, unakuwa huru duniani hata mbinguni. Ungeamua kuchukua rushwa nani angejua!?

Natamani siku moja nikupe mkono na kukwambia HONGERA SANA comrade Mh. Waziri

Aina ya viongozi k**a wewe ndio watatuvusha.
HONGERA SANA.

13/12/2023

Tukiishi humu, tutafika tupatakapo, hongera Mh .

Want your school to be the top-listed School/college in Arusha?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Website

Address

Arusha