Iaa.tz

Iaa.tz

Share

02/09/2020

💥💥ONLY AT IAA💥💥
➡️Diploma ya Business Management with Chinese ni kozi ya kipekee sana inayomuandaa kijana wa Kitanzania kuwa na ujuzi na elimu ya Usimamizi na Uendeshaji Wa Biashara huku akijifunza lugha na Tamaduni za Wachina.
➡️ Kozi hii itampa mwanafunzi nafasi ya kufundishwa na walimu wabobezi wa Uendeshaji wa Biashara huku wakifundishwa Kichina na walimu toka China.
➡️ Baada ya kumaliza Diploma, mhitimu ataweza kujiajiri katika biashara zinazodili na Wachina au kutoa ushauri wa kibiashara kwa makampuni ya Kichina au ya Kitanzania yanayofanya biashara na Wachina.
➡️ Mhitimu atapata ajira katika kampuni za Kichina zilizopo Nchini k**a msimamizi au mkalimani au vyote kwa pamoja.
➡️ Vilevile Mhitimu ataweza kujiunga na kozi za degree matika maeneo mbalimbali nchini k**a Tourism, Business Management, Insurance, Banking na kadhalika, ambapo atajiongezea ujuzi huku akitumia ujuzi wa lugha ya Kichina kwa manufaa makubwa.
----
Sifa za Kujiunga
➡️ D mbili za Form 6 au Certificate na ufaulu wa GPA 2.0

➡️ Apply online kupitia link ilio kwa posts. Karibuni sana.

Want your school to be the top-listed School/college in Arusha?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Website

Address

Arusha