Mshauriwaafya
Kampuni ya NEOLIFE International ni Kampuni ya kimataifa inayofanyakazi zaidi ya nchi 50 kwasasa imefanikiwa kuwepo Tanzania toka mwaka 1999 Hadi Leo
Tunaitaji vijana ambao wapo serious na kazi ili tuifanye nao kazi
Waombaji wanawake watapewa kipaumbele.
11/01/2022
Asanteni sana Wana Kigoma kwa kuweza kuja kujifunza kuhusu afya zetu kwa ujumla
Tuliweza kujifunza nini chanzo Cha magonjwa sugu tulionayo
Kwa mujibu wa maelezo ya shirika la Afya Dunia linatuambia chanzo chama magonjwa sugu mengi Dunia ni chakula hivyo tiba yake pia ni chakula hivyo tunaitaji kula mlo kamili Kila siku
Kwa wewe ambae upo Kigoma haukupata nafasi ya kuwepo pale NSSF Kigoma basi WASILIANA na 0746525852 kwa maelezo zaidi.
20/11/2021
JE UNAFAHAMU AINA ZA VIDONDA VYA TUMBO NA DALILI ZAKE?
WASILIANA NASI KWA NAMBA 0746525852
AINA ZA VIDONDA VYA TUMBO.
Kuna aina 3 za vidonda vya tumbo k**a ifuatavyo,
1 OESOPHAGAEL ULCERS.hivi ni vidonda vya tumbo ambavyo hutokea kwenye koo.
2 DOUDNUM ULCERS.ni vidonda kwenye utumbo mdogo.
3 GASTRIC ULCERS.Ni vidonda ambavyo hutokea kwenye mfuko wa chakuka yaani tumbo.
DALILI ZA VIDONDA VYA TUMBO.
ππ½ Tumbo kujaa gesi.
ππ½ Maumivu ya tumbo.
ππ½ kupungua uzito.
ππ½ kushindwa kula kwa sababu ya maumivu.
ππ½ kichefuchefu na kutapika.
ππ½ kushiba kwa mda mfupi.
ππ½ Kucheua na uchachu.
ππ½ kiungulia.
ππ½ Choo cheusi.
ππ½ Tumbo kuunguruma.
ππ½ Upungufu wa damu.
ππ½Choo chenye damu
ππ½kutapika damu.
TUNAJALI AFYA YAKO.
*
*
*
*
*
*
*
*
*
*
*
*
*
*
*
*
*
*
*
*
*
*
*
CC
#0746525852
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Contact the business
Telephone
Address
Arusha
Opening Hours
| Monday | 09:00 - 17:00 |
| Tuesday | 09:00 - 17:00 |
| Wednesday | 09:00 - 17:00 |
| Thursday | 09:00 - 17:00 |
| Friday | 09:00 - 17:00 |
| Saturday | 09:00 - 17:00 |
| Sunday | 09:00 - 17:00 |