Simbeye KINGS Ministry
18/05/2025
MUHIMU SANA
04/04/2025
KUOA AU KUOLEWA NA MTU ASIYE SAHIHI NI JAMBO LA HATARI SANA.
KUPITIA KITABU HIKI UTAPATA MAARIFA NA HEKIMA ZA KUEPUKA KITEGO YA NDOA NAMBA MENGINE.
MWANAMKE ANAWEZA KUWA NA MIAKA 40 NA HAJAOLEWA ( SINGLE ) LAKINI NA AKAWA NA TABIA NZURI, NA MWINGINE ANAWEZA KUWA NA MIAKA 25 NA KUOLEWA NA AKAWA NA TABIA MBAYA.
KUWA SINGLE SIO ADHABU YA MWANAMKE MWENYE TABIA MBAYA, na NDOA sio ZAWADI YA MWANAMKE MWENYE TABIA NJEMA.
USIPIME THAMANI YA MWANAMKE KWA HALI YA NDOA. WAKATI MWINGINE NDOA SIO MAFANIKIO PEKEE, BALI INAWEZA KUWA UCHAGUZI WA MTU AU KIBALI CHA MUNGU.
✍️Tunawaombea SINGLES WOTE, MUNGU AWAPE KUJUA KUSUDI LAKE KWENYE MAISHA YENU.
Followers11
15/11/2024
ACHA KUFANYA MAMBO KWA MAZOEA.
Watu wengi hushik**ana na mawazo na taratibu zilezile kwa sababu ndiyo hivyo tu wanajua siku zote.
Hawaoni kwamba wanaweza kuvumbua mawazo mapya, kwa kutoogopa hatari au madhara au gharama, maana watagundua ulimwengu wenye ubunifu zaidi, fursa na uwezo wa kufanikiwa zaidi.
Kukubali mawazo mapya na kuondoka katika kuridhika kusikostahili kunaweza kusababisha uvumbuzi wa ajabu na ustawi.
Ruhusu kufikiri kwa uhuru!
There’s so much more to learn and try if you just step out of your comfort zone!
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Telephone
Address
Arusha
267