Equip for Change

Equip for Change

Share

22/06/2026

Photos from Equip for Change's post 17/06/2026

Elimu kuhusu hedhi salama kwa vijana, hususan wanafunzi, ni msingi wa kujenga kizazi chenye afya, kujiamini na usawa wa kijinsia. Kupitia elimu hii, wasichana hupata maarifa sahihi ya kujitunza kiafya na kushiriki kikamilifu katika masomo bila vikwazo..

Tunapowekeza katika elimu hii shuleni, tunapunguza unyanyapaa na tunalinda hadhi ya wanafunzi...

Photos from Equip for Change's post 12/06/2026

Tunapowahamasisha wanafunzi kupanda na kutunza miti, tunawajengea moyo wa uzalendo huku tukihakikisha kizazi kinachokuja kinapata urithi wa kijani na maisha bora. Tuchukue hatua sasa,tuwafundishe, tuwahimize, na tuwape nafasi ya kuwa mabalozi wa mazingira endelevu..

Photos from Equip for Change's post 26/05/2026

“Mkopo si msaada — unahitaji mfumo, maono na nidhamu ili uwe chombo cha mafanikio na si chanzo cha madeni.”
Tunajenga jamii yenye watu wenye fikra sahihi, mifumo imara, na nidhamu ya mafanikio

Want your organization to be the top-listed Non Profit Organization in Arusha?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Telephone

Address

Box 80088
Arusha
255