Recoda Tanzania
01/06/2026
“NOURISH TANZANIA – USALAMA WA CHAKULA, LISHE BORA NA KILIMO HIMILIVU”
🌱✨ Kupitia maadhimisho ya Siku ya Mkulima – Farmers’ Field Day, tunaendelea kushuhudia hatua muhimu katika kuimarisha afya, lishe bora na ustawi wa jamii kupitia shughuli zilizofanyika katika Halmashauri ya Wilaya ya Mkalama, mkoani Singida.
Wakulima na wananchi walipata fursa ya kujifunza kwa vitendo kuhusu kilimo bora na lishe, pamoja na namna ya kuviunganisha ili kuboresha usalama wa chakula na afya za familia zao. 🌾🥗
Kupitia elimu iliyotolewa, wananchi wameendelea kujengewa uwezo wa:
✅ Kuzalisha mazao yenye lishe bora
✅ Kuboresha mlo wa familia
✅ Kuongeza usalama wa chakula nyumbani
✅ Kukabiliana na athari za mabadiliko ya tabia nchi
Mradi wa NOURISH Tanzania unatekelezwa kwa ushirikiano wa SNV, Farm Africa, RECODA, MIICO na T-MARC kwa ufadhili wa NORAD.
🤝 Kwa pamoja tunaweka msingi wa Tanzania yenye:
🌿 Familia zenye afya bora
🌿 Chakula cha kutosha na chenye lishe
🌿 Wakulima imara wenye uwezo wa kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi
💬 JE, UNAAMINI KILIMO NA LISHE VINAWEZA KUBADILI MAISHA YA JAMII?
👇 Tuambie maoni yako hapa chini
👍 Like k**a umehamasika
📤 Share kuwafikishia wengine ujumbe huu muhimu
📲 Na usisahau kufuatilia ukurasa wetu kwa taarifa, mafanikio na simulizi zaidi za mabadiliko chanya kwenye jamii.
“NOURISH TANZANIA – FOOD SECURITY, IMPROVED NUTRITION AND CLIMATE-RESILIENT AGRICULTURE”
🌱✨ Through the celebration of Farmers’ Field Day, we continue to witness important progress in strengthening health, nutrition, and community well-being through activities carried out in Mkalama District Council, Singida Region.
Farmers and community members had the opportunity to learn practical approaches to improved agriculture and nutrition, as well as how to integrate the two to enhance food security and family health. 🌾🥗
Through the training provided, communities are continuing to build their capacity to:
✅ Produce nutritious crops
✅ Improve family diets
✅ Strengthen household food security
✅ Cope with the impacts of climate change
The NOURISH Tanzania Project is being implemented through a partnership between SNV, Farm Africa, RECODA, MIICO, and T-MARC with funding support from NORAD.
🤝 Together, we are laying the foundation for a Tanzania with:
🌿 Healthier families
🌿 Adequate and nutritious food
🌿 Resilient farmers capable of adapting to climate change
💬 DO YOU BELIEVE AGRICULTURE AND NUTRITION CAN TRANSFORM COMMUNITIES?
👇 Share your thoughts in the comments below
👍 Like if you feel inspired
📤 Share to spread this important message
📲 And don’t forget to follow our page for more updates, success stories, and inspiring community transformation journeys.
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Website
Address
Arusha
255
Opening Hours
| Monday | 01:30 - 15:30 |
| Tuesday | 07:30 - 15:30 |