Apst mercyjohns

Apst mercyjohns

Share

19/01/2026
19/01/2026

Zaburi 37:23 K**a BWANA akipendezwa na njia ya mtu, huimarisha hatua zake,

23 The steps of a good man are ordered by the LORD: and he delighteth in his way.

*May God order your steps and lead you clearly when the way feels confusing.
..
๐‘ญ๐’๐’๐’๐’๐’˜๐’†๐’“๐’”.

16/01/2026

..

โœ…Kustawi.. Utastawi
โœ…To flourish
โœ๏ธ๐Ÿ‘ŒMPENDWA PENDA NYUMBA YA BWANA MUNGU WAKO SANA.
โœ๏ธ๐Ÿ‘ŒPENDA KWENDA IBADANI MARA KWA MARA..
โœ๏ธ๐Ÿ‘ŒOMBA MUNGU SANA AKUPE NEEMA YA KUUDHURIA IBADA KILA WAKATI..
๐Ÿ‘‡
Psalms 92:13 sayโœ๏ธ๐Ÿ‘‰Those that be planted in the house of the LORD shall flourish in the courts of our God.

Zaburi92:13 inasema๐Ÿ‘‰๐Ÿ‘‡Waliopandwa katika nyumba ya BWANA Watasitawi katika nyua za Mungu wetu.
๐Ÿ’• ๐Ÿ‘‡
Waliopandwa kwenye nyumba ya Bwana ndio watakaostawi..

๐Ÿ’•Mtu anaye PENDA IBADA maisha yake hayawezi kunyauka hata kidogo....

Angalia ๐Ÿ‘€ Psalms(zaburi) 1:3 inasema, "Mtu huyo ni k**a mti uliopandwa kando ya vijito vya maji, ambao huzaa matunda kwa majira yake na majani yake hayanyauki. Lo lote afanyalo hufanikiwa...
.

Prayer:Bwana nijalie neema ya kupenda kukaa kwenye Nyumba yako na kuudhuria IBADA MARA kwa MARA... Nitakaa kwa nyumba yako eeh Bwana Yesu siku zote za maisha yangu... Eh Bwana nisaidie.... Nakataa Kunyauka..Kunyauka sio sehemu yangu... Nitastawi katika kila eneo la maisha yangu kwa jina la Yesu...

08/01/2026

THE PRESENCE OF GOD IS WITH US

Want your place of worship to be the top-listed Place Of Worship in Arusha?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Culinary Team

Attire

Website

Address

Arusha