Healthy_tz
Healthy_tz wanawaletea bidhaa na huduma mbali mbali za kiafya kwaajili ya kuimarisha afya yako kiujumla pia tunauza virutubisho mbali mbali vinavyoweza kukusaidia, kukuimarisha na kuitunza afya yako usisite kuwasiliana nasi!
31/03/2022
SARATANI YA TEZI DUME
Tezi dume ni nini?
Tezi dume ni tezi inayopatikana kwa jinsia ya kiume. Tezi hii ina kazi ya kutengezeza majimaji meupe mepesi yenye unato kidogo. Majimaji haya husaidia mbegu za kiume kutembea kwa urahisi.
Ipo wapi?
Tezi dume iko mwishoni mwa kibofu cha mkojo. Pia inauzunguka mrija unaounganisha kibofu cha mkojo na na mrija wa mkojo wa uume (urethra) na iko mbele kidogo ya utumbo mpana ndani ya fupa la nyonga.
18/02/2022
Tatizo hili huripotiwa kuwa katika wanaume watano (5) basi mmoja kati yao anatatizo la upungufu wa nguvu za kiume.
Upungufu wa nguvu za kiume huashiria kuto kuwa sawa kiafya hivyo ni tatizo linalohitaji tiba.
Hili tatizo huwanyima watu raha kwa kuwa na mawazo, kuwa na matatizo katika mahusiano, watu wengi wenye tatizo hili wanahitaji kutumia dawa zisizo na madhara na kubadilisha mitindo ya maisha yao ili kuweza kurudisha hali zao na kuondoa tatizo, cha msingi ni kuzingatia yale utakayoelekezwa.
Kuna matatizo ya kutofanya mapenzi kikamilifu, nayo ni; kuwahi kumwanga mbegu za uzazi, Kuto kumwaga, kutokuwa na hamu ya tendo la ndoa
CHANZO CHA TATIZO LA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME
Tatizo la nguvu za kiume lina vyanzo vingi ambavyo mara nyingi wengi huvipuuza, hivyo vyanzo huathiri taratibu na vingine huathiri haraka, tunashauri watu kuwa makini sana ili kujiimarisha vizuri. Kuna mitindo ya maisha inayoweza kukuweka hatarini kupata tatizo la nguvu za kiume nayo ni pamoja na;
*Kuwa na halemu (Cholesterol) na Shinikizo la damu (B.P) au ugonjwa wa moyo
*Kuvuta sigara na unywaji wa pombe
*Uzito kupita kiasi na unene uliozidi
*Ulaji holela wa vyakula vyenye mafuta mengi na sukari nyingi
*Kisukari
*Kuwa na mawazo na wasiwasi
*Matumizi ya madawa mbalimbali
*Umri hasa wazee
*Utumiaji wa vinywaji vinavyobadili hali ya mwili
Kuwa na tatizo la kibofu
*Tabia za kujichua kwa mda mrefu
*Kutopata usingizi kamili
*Matumizi makubwa ya dawa zenye kemikali za kutibia magonjwa k**a kansa, vidonda vya tumbo, moyo, kisukari, B.P, na magonjwa mengine
18/01/2022
IMARISHA AFYA YA UZÀZI NA TENDO.
JE Umekuwa ukishindwa kumridhisha mwenzi wako mpaka kukupelekea kuanza kuwa muoga wa kukutana na mwenzi wako kwa kuogopa kurudia makosa yale yale ya KUWAHI KUFIKA KILELENI, KUSHINDWA KURUDIA TENDO, DHAKARI KUWA LEGEVU, KUTOA KIWANGO KIDOGO SANA CHA MBEGU au MBEGU KUWA NYEPESI SANA n.k?
Hii PACKAGE INAMALIZA CHANGAMOTO ZIFUATAZO:
- KUWA NA UWEZO. KURUDIA TENDO VIZURI.
-KUONGEZA IDADI YA MBEGU
-KUSIMAMISHA UU'ME VIZURI.
- KUBORESHA MZUNGUKO WA DAMU.
-KUIMARISHA MISULI
-KUPATA HAMU YA KUFANYA TENDO
-KUTOFIKA MAPEMA KILELENI
TUNAFANYA DELIVERY TANZANIA NZIMA NA NCHI JIRANI MZIGO UTAKUFIKIA POPOTE ULIPO.
Call/SMS/WhatsApp 0752642660
Via DHL POPOTE ULIPO TUPO 🔥 ndani na nje ya Tanzania karibu upate huduma zetu +255752642660
MADHARA YATOKANAYO NA KUJICHUA/ KUPIGA PUNYETO
Watu wengi waliopitia tabia hii na kuwasababishia madhara hukumbana na matatizo k**a
■Uume kusimama lege lege.
■Maumivu ya mgongo.
■Kumaliza tendo la ndoa ndani ya mda mfupi( hata dakika 5 hazifiki kashamaliza na hawezi kuendelea tena mpaka baada ya masaa kadhaa au mpaka siku nyingine).
■Round kupungua kulingana na Mwanzo .
■Kushindwa kuunganisha round na kuipata inayouta inakuwa Mbinde.
■Kukosa hamu ya tendo la ndoa tena baada ya raundi ya kwanza.
■Kuchoka sana(kukosa stamina)
■Maumbile ya uzazi kupungua ukubwa yanakuwa k**a ya mtoto mdogo (inakuwa ni aibu hata kuvua nguo akiwa na mwenza wake maumbili yanaingia ndani)
■Maumbile kupinda.
■Kutoa mbegu nyepesi na chache wakati mwingine haziruki umbali wowote zinadondoka k**a maji (hili ni hatari sana na hupunguza raha ya kupizi) mwisho ..
■Husababisha kutokujiamini mbele ya mpenzi au mke wake (wasi wasi anawaza itakuwaje, Atanichukuliaje)
CALL /WHATSAPP
+255752642660
26/12/2021
KUWA NA NGUVU ZA KIUME NI JAMBO LINGINE NA KUWA NA UWEZO WA KUTUNGISHA MIMBA NI JAMBO LINGINE
Jambo muhimu ambalo wanaume wanapaswa kulijua pamoja na kuwa na nguvu za kiume na uwezo wa kushiriki tendo la ndoa kikamilifu, bado wanaweza kushindwa kuzaa.
Na wanaume wengi wamekua wakiujiuliza inawezekanaje na tatizo linasababishwa na nini ,sababu hizi hapa;
1.Sababu ya kwanza ni aina ya maisha ya mwanaume na historia ya utumiaji wa baadhi ya dawa, dawa hizo zinaweza kuwa za matibabu au za kulevya.
2.Ulevi na uvutaji sigara; Kati ya wanaume walio hatarini kupoteza uwezo wa kuzaa ni wale wenye tabia ya ulevi na uvutaji sigara. Tabia hizi sio tu zinaathiri nguvu za kiume, pia zinadhoofisha uzalishwaji stahiki wa mbegu za kiume.Pia zinaathiri mbegu zinazozalishwa kwa kuzifanya zikose afya ya kurutubishwa.
3.Uzito uliopitiliza; pia unaathiri utungishwaji wa mimba. Mwanaume anashauriwa kudhibiti uzito wa mwili ili kudhibiti mafuta ya ziada ambayo kwa kawaida yanaathiri uzalishwaji wa mbegu za kiume.
4.Matatizo katika utokaji mbegu za kiume, ni sababu nyingine iliyo nyuma ya tatizo hili haijalishi k**a mwanaume ana nguvu za kiume kwa kiasi gani. Ujazo wa mbegu za kiume pia ni muhimu katika kufanikisha utungishwaji wa mimba.
5.Mirija kuziba,mirija inayosafirisha mbegu za kiume kutoka kwenye korodani ambako ndiko zinakotengenezwa na kuchujwa na kwenda kwenye uume.
Miirija hiyo huziba kutokana na matatizo mengine ya kiafya k**a vile kuwa na mafuta yaliyozidi mwilini, matatizo ya kisukari na hata maambukizi mengine kwenye mfumo wa uzazi.
6.Hormone imbalance;mfumo mzima wa uzazi wa mwanaume unategemea hormones ambazo ni kemikali zinazoendesha cells na organs mbalimbali lakini pia zinahusika na uzalishaji wa mbegu za kiume ikiwemo hormone ya testosterone ambapo zikiwa hazina uwiano mzuri hupelekea mwanaume kushindwa kutungisha mimba.
7.Magonjwa K**a sukari,tezi dume pia maambukizi kwenye via vya uzazi na mfumo wa uzazi kwa ujumla, baadhi ya magonjwa ya kurithi k**a vile chango,ngiri n.k
Hivyo wanaume wote waliopo kwenye ndoa ambao kwa kipindi kirefu wamekuwa wakitafuta watoto kabla ya kuwapa lawama wenza wao wanapaswa kupima afya zao
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Contact the business
Address
Arusha
208USARIVER