KS Security Limited
A company that deals with people's lives by providing professional security services to private companies, security in homes, offices, and various institutions as a whole. We are dedicated to ensuring the protection of people's assets meets the highest standards in order to achieve the best goals for all our customers.
19/09/2024
Kwa Huduma Bora za Ulinzi karibu
.
CCTV camera
Ulinzi wa majumbani, ofisini na kwenye site mpya
Electrical fence n.k
0695334649.
03/08/2024
30/07/2024
Zifahamu faida zakuweka kampuni ya ulinzi kwenye nyumba Yako:
1. Kuongeza hisia ya usalama kwa wakazi wote.
2. Kupunguza hatari ya wizi na uvamizi.
3. Kulinda mali na vifaa vyako vya thamani.
4. Kupunguza bima ya nyumba kwa kupunguza hatari ya madai ya wizi.
5. Kuwezesha ufuatiliaji wa nyumba yako wakati hauko.
6. Kutoa taarifa za dharura mara moja ikiwa kuna kitisho chochote.
7. Kusaidia kushika rekodi za shughuli zinazoendelea karibu na nyumba yako.
8. Kuimarisha thamani ya mali yako kwa kuifanya iwe na ulinzi mzuri.
9. Kutoa kinga dhidi ya majanga k**a moto au uharibifu mwingine.
10. Kupunguza wasiwasi na stress kwa wakazi wa nyumba.
Karibu sana KS Security kwa ulinzi wa
Ofisi Yako 0695334649.
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Website
Address
Arusha