Better Health

Better Health

Share

02/01/2021

*Zinc* , a nutrient found throughout your body, helps your immune system and metabolism function. Zinc is also important to wound healing and your sense of taste and smell. With a varied diet, your body usually gets enough zinc. Food sources of zinc include chicken, red meat and fortified breakfast cereals.

09/10/2020

NINI MAANA YA KUPUNGUA NGUVU ZA KIUME?

Unapopungua nguvu za kiume, k**a nilivyosema hapo awali, ina maana ndani ya mwili wako kuna baadhi ya vitu katika vitu nilivyovitaja hapo juu havifanyi kazi vizuri jinsi ipasavyo.

Yawezekana ni figo ndilo halifanyi kazi vizuri, au ini, au tezi dume, au neva ya parasympathetic, au moyo una tatizo au mishipa ya ateri, au misuli ya pelvic au homoni fulani iko juu sana au iko chini sana (hormonal imbalance), orodha ni ndefu sana.

Kitendo cha baadhi ya viungo hivyo kutofanya kazi vizuri basi hapo hutokea upungufu katika nguvu za kiume. Upungufu huo unaweza kuwa ni:

1. Kukosa hamu ya mapenzi; au

2. Uume kusimama kwa uregevu; au

3. Kuwahi kufika kileleni; au

4. Kuchelewa sana kufika kileleni (au kushindwa kufika kileleni kabisa); au

5. Kushindwa kurudia tendo la ndoa; au

6. Kuhisi maumivu wakati wa tendo la ndoa au baada ya tendo hilo; au

7. Kukosa pumzi na uchangamfu wa mwili katika utendaji; au

8. Kuchoka sana baada ya tendo la ndoa na hata kukinai kabisa au hata kusikia kichefuchefu;

Ndugu msomaji, ili uelewe vizuri zaidi labda niseme kwamba, nguvu za kiume ni kiwanda; na ni zaidi ya kiwanda.

Tukichukulia mfano wa kiwanda, ni kwamba ndani ya kiwanda kuna umeme, maji, madawa, watu (wafanyakazi wa kila taaluma na fani), mashine, mitambo n.k.

Ikitokea kitu kimojawapo kukosekana, mathalani umeme, au wafanyakazi wakagoma, au kukakosekana madawa muhimu au maji na kadhaa wakadha, basi bidhaa inayotarajiwa kupatikana sokoni, kwa hakika haitapatikana.

Vivyo hivyo nguvu za kiume, mathalani, ikitokea tezidume kutofanya kazi vyema, basi hapo mwanaume hatoona nguvu za kiume, zitapungua au zitaisha kabisa!

Kwa hiyo upungufu wa nguvu za kiume ni upungufu au kasoro za kiutendaji wa viungo ndani ya mwili wa mwanaume.

Mwanaume yoyote anapaswa kutambua jambo hili, na siyo kukurupuka kubugia dawa tu.

Better Health Send a message to learn more

02/08/2020

Osteoarthritis mara nyingi huwapata watu walio na umri zaidi ya miaka 50 au wakimbiaji wa mbio ndefu, hii ni kulingana na taasisi ya Osteoarthritis Research Society International.

Rheumatoid arthritis ni jamii ya maumivu ya viungo ambayo huusisha kuvimba na kubadilika rangi kwa viungo zaidi ya kimoja kwa wakati mmoja.

Mikono, kiuno na magoti ndio huathirika zaidi. Huwapata watu wenye umri kati ya miaka 40 na 60.

Licha ya arthritis kuhusishwa na umri, kuna sababu zingine hatarishi ambazo zina mahusiano ya karibu na maradhi hayo ikiwemo jinsia.

Kwa mujibu wa Kituo cha Kudhibiti na Kuzuia Magonjwa cha nchini Marekani kinaeleza kuwa asilimia 52 ya watu wazima wanaopatwa na arthritis ni wanawake.

Wanawake wako katika hatari zaidi ya kupatwa na maradhi hayo kuliko wanaume.

Sababu nyingine ni uzito kupita kiasi.

Watu wenye uzito kupita kiasi wako hatarini kupata maumivu kwenye maungio hasa magotini.

Waatalamu wa afya wanaeleza kuwa miguu huelemewa na uzito wa mwili wakati wa kutembea ambapo mifupa husigana na ngozi kuvimba.

Want your business to be the top-listed Beauty Salon in Arusha?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Category

Website

Address

Arusha