Ulimwengu wa Michezo
23/06/2026
Yanga watakubali kufungwa mara mbili mfululizo na Azam FC? 🤔 Mhh, ngoja tuone kesho! Lakini kwa ubora wa kikosi na hamasa ya kulipa kisasi, naona Yanga wana nafasi kubwa ya kurejea kwa nguvu. Moto wa mchezo huu ni wa kusubiri hadi dakika ya mwisho! 🔥⚽
23/06/2026
Rasmi klabu ya Al hilal,imemtambulisha nchezaji wao mpya,Haman Mandjan (25) kutoka Stade Malien✅
Fundi Yanga Fundi
Kiungo huyo amesaini leo baada ya kufuzu vipimo vya afya✅
Want your public figure to be the top-listed Public Figure in Arusha?
Click here to claim your Sponsored Listing.
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Contact the public figure
Telephone
Website
Address
Sinoni
Arusha
Arusha