Swatazakingo International
21/08/2021
OFA! OFA!
---------------------------------
SWATAZAKINGO INTERNATIONAL, ni Kampuni inayojishughulisha na matangazo kwa njia ya mitandao pamoja na Jarida (Magazine) litakalochapwa kila mwezi.
Ni miongozi mwa makampuni machache kuwahi kuanzishwa nchini Tanzania kwa lengo la kuwafanya wafanyabiashara, taasisi za kiserikali na zisizozakiserikali kushiriki mpango wa kutangaza bishaa na shughuli mbalimbali ndani na nje ya Tanzania.
Afrika Mashariki na kati ni pamoja na:-
Tanzania, Kenya, Uganda, Rwanda, Sudan, Burundi
------------------------------------
Nchi za nje na ushirika:-
Marekani, Canada, Ujerumani, Sweden, Dernmark
------------------------------------
Kampuni inapenda kutoa wito kwa wafanyabiashara wote wakubwa kwa wadogo kutumia fursa hii kuweza kutangaza biashara zao nje na ndani ya nchi kwa kukuza uchumi kwa maendeleo kiutendaji.
Vipo vipaumbele mbalimbali vya kuzingatiwa ikiwemo, huduma za kitalii (Tour Operators and Hotels), wauzaji wa mazao(Crops Selling), Taasisi za elimu(Univerisities and Colleges), Maduka Makubwa(Supermarkets), Makampuni ya Ujenzi na vingine vingi.
Matangazo yote kwa sasa yatafanywa kwa OFA KUBWA ya TSH 450,000/= kwa miezi minne TU!
------------------------------------
Kwa mawasiliano zaidi wasiliana nasi kwa namba za simu:- 0757720176 / 0766712203 / 0625736036 /
Email: [email protected]
Tunapatikana Arusha Mjini karibu na Mnara wa mwenge, jengo la UVCCM, Mita 100 kutoka barabara kuu.
KARIBU SANA.
18/03/2021
Mtetezi wa kweli wa wanyonge, Tunakukumbuka
Karibu SWATAZAKINGO INTERNATIONAL tuambie nini unafanya tutaitaarifu dunia kuhusu biashara yako.
28/02/2021
Karibu SWATAZAKINGO INTERNATIONAL,
Kampuni inayojishughulisha na matangazo kwa njia ya mitandao, Magazine/Gazeti litakalochapwa kila mwezi. Kujua kazi nyingine tunazofanya soma kipeperushi hapa chini.
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Contact the practice
Website
Address
Arusha