Hh.solution

Hh.solution

Share

Tunatuma dawa mikoa yote tz na nje

Endapo unahitaji kupata tiba na ushauri piga
simu au Whatsapp +255672891124/0746633559

01/02/2025

Magonjwa 10 yanayo sababisha upungufu wa Nguvu za kiume

1. Shinikizo la damu (heart attack)
2. Saratani ya tezi dume
3. Shinikizo la juu la damu(presha)
4. kisukari
5. Vidonda tumbo
6. Mshongo wa mawazo.
7. Bawasiri,choo kigumu, magonjwa ya ngono
8. Magonjwa kwenye mfumo ya upumuaji(Kifua kikuu)
9. Uchovu sugu,kazi ngumu kukosa muda wa kupunzika
10. Uzito kupita kiasi,unene,kitambi,(Tunayo tiba ya asili kwajili ya kupunguza uzito,unene,kitambi)

Note: Sababu nyingine kubwa ni

1.Kupiga punyeto kwa muda mrefu hivyo hupelekea mishipa yacuzazi kulelea na kuwai kumaliza tendo

2.kupata mlo duni, hupelekea mwili kushindwa kuwa na nguvu hivyo pia mfumo wa uzazi unakuwa dhaifu pia

Mfumo mbaya wa maisha hupekekea kuwa tatizo la ukosefu wa Nguvu za kiume

Note; nakukumbusha tu ili uweze kupona nguvu za kiume tibu kwanza magonjwa sugu K**a kisukari, presha, kiharusi nk

Wasiliana nami kwa ushauri Zaidi na tiba
0672891124

Tumia tiba mbadala zetu kwa punguzo la Bei

Gusa link kupata ushauri na tiba
https://wa.me/255746633559?text=NAOMBA%20MAELEZO%20KUHUSU%20TIBA%20HII%20%20YA-KISUKARI

16/06/2023

*KISUKARI: Mimi Nina Uzito mkubwa na Kitambi ila Mungu amenibariki SINA Ugonjwa wa Kisukari Wala Presha.*
Wengi wenye kauli hizi wanaojaribu kujihami kwamba “Uzito wao kwao sio shida wana umudu na sio uzito wa maradhi” Ni Watahiniwa wa Ugonjwa wa Kisukari.
Tafiti Moja iliyofanywa mwaka 2015 na Zahra Majili (Nutritionist SUA) alikuwa ana angalia uhusiano kati ya Unene na uzito na Ugonjwa wa kisukari. Huyu ndiye mtafiti aliye tuondolea dhana potofu kwamba “Unene sio maradhi”.
Katika asilimia 40 ya watu ambao aliwapima sukari kwa kutumia kipimo cha Glucometer (Kile cha kidoleni) na sukari yao kusoma chini ya 6.1mmol/L ambayo ni NORMAL kulingana na Vigezo vya WHO. Hao hao ambao sukari ilionesha Iko kawaida alipowajaribu kuwachokoza miili yao na sukari kuona k**a uwezo wao wa kutumia sukari k**a bado uko vizuri. Karibia Nusu yao (Asilimia 49) walionekana kwamba “Uwezo wao wa kutumia Sukari na wanga ni Mdogo sana”. Na wote waliokuwa na kigezo cha kuitwa wana Kitambi walionekana “Nao uwezo wao wa kutumia sukari uko chini sana”. Makundi Yote hayo kitalamu tunaita PRE DIABETES au Mtahiniwa wa Kisukari.
Mtahiniwa wa Kisukari ni yule mtu ambaye yupo kwenye kipindi cha mpito kongosho bado linapigana kuhakikisha kwamba linatema insulin nyingi sukari isipande. Muda wowote kongosho litashindwa kuratibu hicho na utakuwa mgonjwa rasmi.
Kwa maana hio k**a unataka kutekeleza usemi wa kwamba “Kinga ni bora kuliko Tiba” Huwezi Kujichunguza ugonjwa wa Kisukari kwa madhumuni ya Kujikinga kwa kutumia GLUCOMETER. Kipimo hiki kinakugundua Ukiwa tayari ni MGONJWA RASMI hatua ya Tatu.
Wagonjwa wengi wa Kisukari hugunduliwa wakati ambapo sukari inakuwa imeangamiza viungo vyako katika hatua mbaya. Nguvu za Kiume zimeisha,Mishipa ya damu kuchakaa,Macho kupoteza nuru, Kinga ya mwili kushuka kila siku maambukizi hasa sehemu za siri kwa wanawake. Ukipima kwa Glucometer unaambiwa SUKARI IPO KAWAIDA kumbe ni Mtahiniwa.
Je Kipimo gani Ukitumie na utajuaje uko hatua ya ngapi?
Je ni dawa gani utumie kukinga na kujibu na kisukari
Nipigie Sasa Dr Banda
0757842606

Want your practice to be the top-listed Clinic in Arusha?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Telephone

Address

Kaloleni
Arusha
00255