Nesi J4

Nesi J4

Share

Photos from Nesi J4's post 19/08/2022

Kwanini mtu hufikia hatua ya kujitoa uhai? 🤔🤔🤔

Si watu wengi Wana nguvu ya kusema sasa ninafikiria kujitoa uhai!

Inafika wakati mtu afikie hicho kiwango Cha kujitoa maisha yake amekuwa amewaza na kuwazua, anakua na shida nyingi Sana ukimwangalia kwa uso yuko sawa lakini kinawazo yale anayo yafikiria hujajui ndo maana tunasema sio vizuri tukae chini tunyamaze, tuzungumze na tuulizane - Je, afya yako ya Akili iko sawa?
https://nesijeyfo.com/?p=222

Want your practice to be the top-listed Clinic in Arusha?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Telephone

Address

Arusha
0000