ABsmartaccesories

ABsmartaccesories

Share

26/05/2026

hii ndio sababu followers wako wanashuka na hawaongezeki
Save for later | like | follow kwa tips za kukuza account

21/05/2026

🚀 Vitu vya kufanya mara tu baada ya kupost:
1️⃣ Share post kwenye Story yako. Hii inawapa followers nafasi ya pili ya kuiona k**a imewakwepa kwenye feed.
2️⃣ Jibu comments zote ndani ya dakika za mwanzo. Mazungumzo yanapoongezeka mapema, post yako hupata engagement zaidi.
3️⃣ Kaa active Instagram kwa dakika 15–30. Usipost halafu utoke. Activity yako ya awali husaidia kuongeza ushiriki kwenye post mpya.
4️⃣ Tembelea page kubwa ndani ya niche yako. Reply comments zenye engagement kubwa ili kuongeza profile visits kwenye account yako.
5️⃣ Pin comment muhimu. Huongeza interaction na huwapa watazamaji sababu ya kubaki kwenye post kwa muda mrefu.

12/05/2026

🔒 K**a hutaki chats zako za kuvujishwa au kutumiwa vibaya, washa setting hii muhimu mara moja.
Nenda: WhatsApp → Chat Info → Advanced Chat Privacy
Hii setting inaongeza ulinzi wa mazungumzo yako na kukupa faragha zaidi.
Washa leo na linda chats zako binafsi. 🔐

Want your business to be the top-listed Clothing Store in Arusha?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Website

Address

Arusha
23115